usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,897
Nawahurumia sana vipofu , kwa kutojitambua.Masikini mbona unateseka sana
Unajitambua sana mkuu, kuliko wote dunianiNawahurumia sana vipofu , kwa kutojitambua.
Mimba na wavuta bangi.
Mtt anaweza kukulaumu mzazi kwnn ulimzaa tuMimba na wavuta bangi.
Mwalimu wake ni wale form four waliokuwa rejected koote
Very narrow minded. Kila kitu ukipewa unakinajisi.Kuambiwa kuna watu wasiojitambua akili yako Ikapata implication msemaji anajitambua na umeongezea KULIKO WOTE DUNIANI. Utakuwa mtu hatari kuliko uzao wa chetani. Wengi wataumia sana kwa kuwa tofauti na mtu km wewe,ktk mazingira unaweza watendea chochote. Uovu unaodhani unakufaa leo utakuwa ni majuto makubwa sana baadae kwako. Mkuu jitahidi sana kufanya vitu kwa uwezo wako ktk njia njema,ili siku ukitumia njia mbaya basi uwe na kitu cha kuhalalisha na itakuw ahivyo kwa vile akili yako haitokudanganya kuchagua njia rahisi yenye mafanikio mabaya .Unajitambua sana mkuu, kuliko wote duniani
Walimu hawapo watoto wanajifunza kwenda na vidumu na majembe kutengeneza bustani tuMwalimu wake ni wale form four waliokuwa rejected koote
Ulimwengu wa leo haijalishi kama mtoto anaenda kwenye shule za kata au nyingine za kata ya kulipia. Leo tunaishi global. Wazazi wanahitaji kuwa na internet ya uhakika nyumnani na equipment. Hapa na maanisha PC au Laptop na Smartphone. Mmmh, ok ok ok na kingereza kidogo au lugha nyingine kama kispanish au kifaransa.Mkuu nashukuru sana kwa cheo ulichonipa ......Nakushauri na wewe kama unaona ufisadi ni dili ingia na wewe.... Pointi yangu ilikua kama kweli unampenda mtoto wako na huyakimbiii majukumu yako ya kulea na pia ukijua umuhimu wa elimu kwa mtoto wako mbaya zaidi ukiwa na ufahamu tosha wa kile kinachoendelea ndani ya baadhi ya hizo shule za kata naamin utapigana kufa kupona umpeleke mwanao shule itakayomsaidia kuujua ulimwengu na mambo yake na sio shule atakayoanza kukaa vikundi kuvuta mibangi na kufanya umalaya mwisho wa siku alete simanzi nyumbani