Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Serikali ya Tanzania inakataa uraia pacha kwa Watanzania halisi waliozaliwa na kukulia Tanzania ambao kila siku wanatuma mamilioni ya pesa nyumbani, kufungua miradi na kusaidia ndugu, jamaa na marafiki lakini wanawakubalia raia wa Caribbean kukaa Tanzania bila ya Visa. Huu ni ujinga wa hali ya juu unaofanywa na serikali ya CCM.
Na ndiyo mmezidi kuwapa sababu ya kuukataa zaidi uraia pacha, ...