Ubelgiji: Tundu Lissu aruhusiwa kutoka Hospitalini

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG_20180808_093931.jpg
Hello Friends of Me!!!

Good afternoon to y'all. Kwa mara nyingine nawaleteeni habari njema.

Alfajiri ya tarehe 6 January ya mwaka huu, niliondoka Nairobi Hospital na kusafiri hadi Leuven, Ubelgiji, kwa ajili ya matibabu zaidi. Jana tarehe 6 Agosti ilikuwa mwezi wa saba kamili tangu niletwe hapa Ubelgiji kwa ajili hiyo.

Leo tarehe 7 Agosti ni miezi 11 to the day niliposhambuliwa na watu wanaojulikana sana kama 'watu wasiojulikana.'

Tarehe 7 September mwaka jana sikulala nyumbani kwangu. Tarehe 7 Agosti ya leo, miezi 11 kamili baadae, nimeamkia nyumbani kwangu.

Tarehe 7 September iliyopita wote mlikuwa na hofu kubwa kama ningemaliza siku hiyo, au siku chache zilizofuata, nikiwa hai. Miezi 11 kamili baadae, Professor Dr. Wilhelmus Jan Mertsemakers, daktari wangu tangu nilipokuja University Hospital Leuven, amesema sina sababu ya kitabibu ya kuendelea kukaa hospitali.

Prof. Mertsemakers amesema nitaendelea na uponyaji nikiwa nyumbani kwangu. Nitatembelewa na homecare nurses kila siku nyumbani kuniangalia naendeleaje. Na nitarudi hospitali kumwona kila baada ya wiki mbili.

Bado nina lichuma kubwa kwenye paja liko kama antenna ya TV za mwaka '47. Na Prof. Mertsemakers amesema nitakaa nalo kwa si chini ya miezi sita. Lakini habari ya mujini ndio hiyo: nimetoka hospitalini.

Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kuniuguza na kuniponya. Na chochote mtakachokula au kunywa siku ya leo mnibakishie. Siko mbali.

Tundu Lissu,
Brussels, Belgium.

======

Tundu Lissu aruhusiwa kutoka hospitali Nairobi

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kulazwa kwa karibu miezi minne kufuatia kushambuliwa kwa risasi. Akizungumza na DW kwa njia ya simu, Lissu amelitaja shambulio hilo kuwa ni jaribio la mauaji ya kisiasa. Amesema ataendelea na matibabu barani Ulaya ingawa hakuweka wazi atakuwepo nchi gani

Habari zaidi, soma=>DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
 
Hao waliofanya tendo hilo la kinyama hivi sasa vitanda havilaliki!

Wenyewe wametumwa na aliyewatuma anaenjoy impunity.......

JK alishawahi kusema, "La kuambiwa changanya na akili zako"

Hivi sasa hao jamaa wanatamani ardhi ipasuke ili wajitumbukize ndani, iwafukie..........

Wahenga wamenena "mwisho wa ubaya aibu"
 
Hello Friends of Me!!!
Good afternoon to y'all. Kwa mara nyingine nawaleteeni habari njema.
Alfajiri ya tarehe 6 January ya mwaka huu, niliondoka Nairobi Hospital na kusafiri hadi Leuven, Ubelgiji, kwa ajili ya matibabu zaidi. Jana tarehe 6 Agosti ilikuwa mwezi wa saba kamili tangu niletwe hapa Ubelgiji kwa ajili hiyo.
Leo tarehe 7 Agosti ni miezi 11 to the day niliposhambuliwa na watu wanaojulikana sana kama 'watu wasiojulikana.'
Tarehe 7 September mwaka jana sikulala nyumbani kwangu. Tarehe 7 Agosti ya leo, miezi 11 kamili baadae, nimeamkia nyumbani kwangu.
Tarehe 7 September iliyopita wote mlikuwa na hofu kubwa kama ningemaliza siku hiyo, au siku chache zilizofuata, nikiwa hai. Miezi 11 kamili baadae, Professor Dr. Wilhelmus Jan Mertsemakers, daktari wangu tangu nilipokuja University Hospital Leuven, amesema sina sababu ya kitabibu ya kuendelea kukaa hospitali.
Prof. Mertsemakers amesema nitaendelea na uponyaji nikiwa nyumbani kwangu. Nitatembelewa na homecare nurses kila siku nyumbani kuniangalia naendeleaje. Na nitarudi hospitali kumwona kila baada ya wiki mbili.
Bado nina lichuma kubwa kwenye paja liko kama antenna ya TV za mwaka '47. Na Prof. Mertsemakers amesema nitakaa nalo kwa si chini ya miezi sita. Lakini habari ya mujini ndio hiyo: nimetoka hospitalini.
Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kuniuguza na kuniponya. Na chochote mtakachokula au kunywa siku ya leo mnibakishie. Siko mbali.

Tundu Lissu,
Brussels, Belgium.
Atukuzwe Mungu alikoponya kutoka mikononi mwa shetani mpya wa Tanzania na alaaniwe milele anayejulika aliyepanga na kusimamia mapango wa kishetani ila ajue hakika katika uhai wake ipo siku atajua ya kuwa yeye ni binadamu tu na sio Mungu kama anovyofikiri
 
Mgonjwa anapolazimisha kuanzisha ugomvi huwaga ni kasheshe, basi inabidi umwache afanye vurugu maana ukimjibu tu watu watu watakushangaa, soo mwacheni aongee tu maana solitary sio mchezo.
 
Hao waliofanya tendo hilo la kinyama hivi sasa vitanda havilaliki!

Wenyewe wametumwa na aliyewatuma anaenjoy impunity.......

JK alishawahi kusema, "La kuambiwa changanya na akili zako"

Hivi sasa hao jamaa wanatamani ardhi ipasuke ili wajitumbukize ndani, iwafukie..........

Wahenga wamenena "mwisho wa ubaya aibu"

Mkuu kwa taarifa yako hakuna anayemuogopa kwa sasa anaowataja wameshika mpini. Na usishangae akija hapa nyumbani akakutana na wakati mgumu zaidi ya hapo awali. Ni kweli atawakera na kuwaharibia taswira zao kisiasa kwani wanataka kujionyesha ni wema na yeye anaweza kuharibu hiyo taswira fake. Lakini kwamba wanamuogopa hilo halipo.
 
Hello Friends of Me!!!

Good afternoon to y'all. Kwa mara nyingine nawaleteeni habari njema.

Alfajiri ya tarehe 6 January ya mwaka huu, niliondoka Nairobi Hospital na kusafiri hadi Leuven, Ubelgiji, kwa ajili ya matibabu zaidi. Jana tarehe 6 Agosti ilikuwa mwezi wa saba kamili tangu niletwe hapa Ubelgiji kwa ajili hiyo.

Leo tarehe 7 Agosti ni miezi 11 to the day niliposhambuliwa na watu wanaojulikana sana kama 'watu wasiojulikana.'

Tarehe 7 September mwaka jana sikulala nyumbani kwangu. Tarehe 7 Agosti ya leo, miezi 11 kamili baadae, nimeamkia nyumbani kwangu.

Tarehe 7 September iliyopita wote mlikuwa na hofu kubwa kama ningemaliza siku hiyo, au siku chache zilizofuata, nikiwa hai. Miezi 11 kamili baadae, Professor Dr. Wilhelmus Jan Mertsemakers, daktari wangu tangu nilipokuja University Hospital Leuven, amesema sina sababu ya kitabibu ya kuendelea kukaa hospitali.

Prof. Mertsemakers amesema nitaendelea na uponyaji nikiwa nyumbani kwangu. Nitatembelewa na homecare nurses kila siku nyumbani kuniangalia naendeleaje. Na nitarudi hospitali kumwona kila baada ya wiki mbili.

Bado nina lichuma kubwa kwenye paja liko kama antenna ya TV za mwaka '47. Na Prof. Mertsemakers amesema nitakaa nalo kwa si chini ya miezi sita. Lakini habari ya mujini ndio hiyo: nimetoka hospitalini.

Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kuniuguza na kuniponya. Na chochote mtakachokula au kunywa siku ya leo mnibakishie. Siko mbali.

Tundu Lissu,
Brussels, Belgium.
Ulivyo andika hapa uelezee vizuri maana mashabiki wako watajazana nyumbani kwako -Ikungi, Dodoma au Dar. kuja kukupa pole. Unajua tena elimu zetu! "Tarehe 7 September mwaka jana sikulala nyumbani kwangu. Tarehe 7 Agosti ya leo, miezi 11 kamili baadae, nimeamkia nyumbani kwangu". Pole
 
Hello Friends of Me!!!

Good afternoon to y'all. Kwa mara nyingine nawaleteeni habari njema.

Alfajiri ya tarehe 6 January ya mwaka huu, niliondoka Nairobi Hospital na kusafiri hadi Leuven, Ubelgiji, kwa ajili ya matibabu zaidi. Jana tarehe 6 Agosti ilikuwa mwezi wa saba kamili tangu niletwe hapa Ubelgiji kwa ajili hiyo.

Leo tarehe 7 Agosti ni miezi 11 to the day niliposhambuliwa na watu wanaojulikana sana kama 'watu wasiojulikana.'

Tarehe 7 September mwaka jana sikulala nyumbani kwangu. Tarehe 7 Agosti ya leo, miezi 11 kamili baadae, nimeamkia nyumbani kwangu.

Tarehe 7 September iliyopita wote mlikuwa na hofu kubwa kama ningemaliza siku hiyo, au siku chache zilizofuata, nikiwa hai. Miezi 11 kamili baadae, Professor Dr. Wilhelmus Jan Mertsemakers, daktari wangu tangu nilipokuja University Hospital Leuven, amesema sina sababu ya kitabibu ya kuendelea kukaa hospitali.

Prof. Mertsemakers amesema nitaendelea na uponyaji nikiwa nyumbani kwangu. Nitatembelewa na homecare nurses kila siku nyumbani kuniangalia naendeleaje. Na nitarudi hospitali kumwona kila baada ya wiki mbili.

Bado nina lichuma kubwa kwenye paja liko kama antenna ya TV za mwaka '47. Na Prof. Mertsemakers amesema nitakaa nalo kwa si chini ya miezi sita. Lakini habari ya mujini ndio hiyo: nimetoka hospitalini.

Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kuniuguza na kuniponya. Na chochote mtakachokula au kunywa siku ya leo mnibakishie. Siko mbali.

Tundu Lissu,
Brussels, Belgium.

Enjoy with the family man.
Mungu amekupa uzima shukuru.
Zipo nyakati Tunaachiliwa kwa adui zetu kwa sababu ya dhambi zetu wenyewe....
Vinginevyo Mungu aliahidi kutulinda na akasema hata u nywele wetu hautadhurika....
Tumia mda huu kujitafakari zaidi kuliko kuandika habari za kufirika...kwakuwa ungekuwa na ushahidi. ...you don't have speed governor man leo ungekuwa umeshatupa majina.
( ulimi kiungo kidogo sana ,husababisha mauti)
Dunia imekusikia........
 
Hapo inaonyesha tayari kashaanza kupigwa na njaa..
Haya sasa dada mange aanze haraka sana kampeni ya kuchangia..
Wewe una roho ya Ibilisi haswa. Yaani ningedhani kwamba kwa ishu kama ya huyu Tundu Lissu, Jinsi alivyopata mashambulizi yale ya kikatili, na kukaa mwaka mzima hospitali, nadhani angalau kama huna la kusema zuri, ungekaa kimya tu. Lakini kuandika uharo kama huo kwa mtu wa aina hii, inaonesha kwamba huna ubinadamu kabisa. Eeh, bwana, maana hata wachezaji mpira wana kitu kinaitwa FAIR PLAY, ambapo kwa faida ya timu PINZANI, wanatoa mpira nje ili iwe advantage kwa UPINZANI. Hii inatokea wanapopata madhila. Ila sikulaumu, Magufuli ndio kawafundisha hizi siasa. maana hataki wanaCCM wawatembelee wa upinzani wanapokuwa magerezani au hospitali. Wakati Bwana Yesu alisema mkiwatembelea hao walioko vifungoni au wagonjwa, mnanitembelea MIMI:
"Kisha Mfalme atawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu; kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha; nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia." [Mathayo 25:36].

Kwa hiyo Magufuli anawafundisheni UIBILISI huo. Shauri yenu. Siku ya hukumu hakutakuwa na maji ya kuwasha au polisi wa kuwakabili malaika watakaowaadhibuni
 
Anaandika Tundu Lissu

Hello Friends of Me!!!

Good afternoon to y'all. Kwa mara nyingine nawaleteeni habari njema.

Alfajiri ya tarehe 6 January ya mwaka huu, niliondoka Nairobi Hospital na kusafiri hadi Leuven, Ubelgiji, kwa ajili ya matibabu zaidi. Jana tarehe 6 Agosti ilikuwa mwezi wa saba kamili tangu niletwe hapa Ubelgiji kwa ajili hiyo.

Leo tarehe 7 Agosti ni miezi 11 to the day niliposhambuliwa na watu wanaojulikana sana kama 'watu wasiojulikana.'

Tarehe 7 September mwaka jana sikulala nyumbani kwangu. Tarehe 7 Agosti ya leo, miezi 11 kamili baadae, nimeamkia nyumbani kwangu.

Tarehe 7 September iliyopita wote mlikuwa na hofu kubwa kama ningemaliza siku hiyo, au siku chache zilizofuata, nikiwa hai. Miezi 11 kamili baadae, Professor Dr. Wilhelmus Jan Mertsemakers, daktari wangu tangu nilipokuja University Hospital Leuven, amesema sina sababu ya kitabibu ya kuendelea kukaa hospitali.

Prof. Mertsemakers amesema nitaendelea na uponyaji nikiwa nyumbani kwangu. Nitatembelewa na homecare nurses kila siku nyumbani kuniangalia naendeleaje. Na nitarudi hospitali kumwona kila baada ya wiki mbili.

Bado nina lichuma kubwa kwenye paja liko kama antenna ya TV za mwaka '47. Na Prof. Mertsemakers amesema nitakaa nalo kwa si chini ya miezi sita. Lakini habari ya mujini ndio hiyo: nimetoka hospitalini.

Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kuniuguza na kuniponya. Na chochote mtakachokula au kunywa siku ya leo mnibakishie. Siko mbali.

Tundu Lissu,
Brussels, Belgium.
 
Mungu na Ahimidiwe na Ashukuriwe kwa hali njema ya afya yako..

Huyu Shetani mpya wa Tanzania aliyetaka kukumaliza kwa sasa amejawa na AIBU..

Sijui atakwenda kuuweka uso wake wapi.
 
Enjoy with the family man.
Mungu amekupa uzima shukuru.
Zipo nyakati Tunaachiliwa kwa adui zetu kwa sababu ya dhambi zetu wenyewe....
Vinginevyo Mungu aliahidi kutulinda na akasema hata u nywele wetu hautadhurika....
Tumia mda huu kujitafakari zaidi kuliko kuandika habari za kufirika...kwakuwa ungekuwa na ushahidi. ...you don't have speed governor man leo ungekuwa umeshatupa majina.
( ulimi kiungo kidogo sana ,husababisha mauti)
Dunia imekusikia........
The guilty are afraid!
 
Back
Top Bottom