Tundu Lissu App

Huyu mtu anatibiwa au ameamua kuzurura kujitafutia kiki ya dunia?busara ingekuwa amalize tiba yake, arudi nyumbani watu wampe pole zake, asaidie pia polisi kutoa ushahidi wake, halafu ajipange sasa rasmi na Chama chake na wampe agenda ya kuzungumza akiwa huko. Huo ungekuwa in utratibu mzuri kuliko anvyo Fanya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umetumia mb zako ku comment
 
Why not using mobile phone numbers registered with his details specifically for financial contribution? How many people would be willing to chip in but dont have access to smartphones? Are they ready to marginalize them?
Numbered registered? Ili muwafatilie na kuwaua ki hali na Mali? Kweli mumiani in hatari sana mawazo yake kukomesha na kuumiza tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
then najua kuna mtu anaweza kulianzisha hilo kwa urahis

Kungekuwa kuna anaeweza kulianzisha kwa urahisi zaidi kuliko yeye kulianzisha lingesha anzishwa.

Wewe umeliona, wewe umelitolea wazo, WEWE anzisha!

Learn to take initiative, unasemaje anataka “collabo” wakati hajasema tuanzishe, kasema “anzisheni”!

“Ikiwezekana anzisheni,” unataka nani aanzishe, Maxence Melo wa JF au Halima Mdee na Mchungaji Msigwa wa CHADEMA ?

Hawako Marekani hao tuliozoea wanalianzisha in behalf of everybody else all the time, nyinyi ndio mko huko karibu nae na karibu na ma exposure ya teknohama, ongeeni nae. Be responsible for once.
 
Tuliza mshono wew,
Kuna watu wenye influence kubwa ndio tunawataka,

Alie toa wazo yuko sawa,
Mawazo pia yanatosha.

Anzisha wew kichwa panzi uwone... Itakavo kuwa.

Ndio maana unaambiwa kuna tofauti kubwa kati ya Restant na Restaurant.
Kungekuwa kuna anaeweza kulianzisha kwa urahisi zaidi kuliko yeye kulianzisha lingesha anzishwa.

Wewe umeliona, wewe umelitolea wazo, WEWE anzisha!

Learn to take initiative, unasemaje anataka “collabo” wakati hajasema tuanzishe, kasema “anzisheni”!

“Ikiwezekana anzisheni,” unataka nani aanzishe, Maxence Melo wa JF au Halima Mdee na Mchungaji Msigwa wa CHADEMA ?

Hawako Marekani hao tuliozoea wanalianzisha in behalf of everybody else all the time, nyinyi ndio mko huko karibu nae na karibu na ma exposure ya teknohama, ongeeni nae. Be responsible for once.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images.jpeg-28.jpg
 
Zamani Yesu aliwalisha watu 5000+ wenye njaa,
Sasa hivi watu 5000+ wenye njaa wanamlisha mtu mmoja aliyeshi_________b__________a
 
Back
Top Bottom