BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,328
Hatimaye chama cha wanasheria nchini " Tanganyika Law Society" Chapitisha rasmi jina la Wakili maarufu #Tundu_Lisu kugombea urais wa chama hicho ambacho siku za karibuni kimekosa mvuto wakutetea maslahi ya wanasheria na haki kwa ujumla katika taifa hili. #TUNDU_ANTIP_LISU LISU " MAKE TLS GREAT AGAIN"