Tundu Lissu Apata Mapokezi makubwa Jijini Houston -Marekani

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa Chadema, Mhe.Tundu Lissu amewasili mji wa Houston na kupewa mapokezi makubwa.

Atafanya mkutano na watanzania waishio maeneo ya Houston, Nevada, Carlifonia na maeneo jirani leo kuanzia saa kumi hadi saa 12 jioni kwa saa za Huston. Mkutano huo utafanyika OMN Houston Hotel.
FB_IMG_1549876537129.jpeg
images%20(6).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa saa 9 usiku saa za kwetu.
Mange usikose please piga picha na comrade Lissu ccm waanze kuongea kwa lugha.
 
Back
Top Bottom