very good
New Member
- Mar 13, 2018
- 2
- 0
Nimeangalia Habari huko Youtube naona Huyu jamaa anazidi Kuiabisha Serikali Ughaibuni! Hii ni jana Usiku Waungana hivi anachofanya ni haki Kweli!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuchanganya Habari, Hapo katishia Kutaja majina sio kataja majina, Kamtaja nani hapo?
Nimeangalia Habari huko Youtube naona Huyu jamaa anazidi Kuiabisha Serikali Ughaibuni! Hii ni jana Usiku Waungana hivi anachofanya ni haki Kweli!?
Sent using Jamii Forums mobile app
inatakiwa ataje yeye mtoa mada huo mda wa kuharibu mb kwa kuangalia upupu haupo.Em mliongalia semeni kamtaja nani na nani??
Hili nalo nenoBinafsi namshauri Lissu anyamaze maana anaweza kupigwa marufuku Kurudi Nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaBinafsi namshauri Lissu anyamaze maana anaweza kupigwa marufuku Kurudi Nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata kama !!wakipiga marufuku hiyo sio nchi ya kuishi mtu !!bora nikae ughaibuni ..kuliko ardhi iliyo jaa mazambiBinafsi namshauri Lissu anyamaze maana anaweza kupigwa marufuku Kurudi Nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kataja vigogoEm mliongalia semeni kamtaja nani na nani??
Bila shaka anataka tuongeze viewers wa channel yake ya youtube.inatakiwa ataje yeye mtoa mada huo mda wa kuharibu mb kwa kuangalia upupu haupo.
Nimeangalia Habari huko Youtube naona Huyu jamaa anazidi Kuiabisha Serikali Ughaibuni! Hii ni jana Usiku Waungana hivi anachofanya ni haki Kweli!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sheria ipi?Binafsi namshauri Lissu anyamaze maana anaweza kupigwa marufuku Kurudi Nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app