Tundu Lissu aongea na Watanzania Marekani

lisu hawezi wajua watu waliotaka kumuua ila hao watu walitaka kumuua kumchafua mkuu john kwa muono wangu,
kipindi kile ilikua sakata la makinikia so nahisi ilitakiwa damu kidogo kwa wazee wa madini maana kwao ni kawaida sana
sirikali yetu haiwezi fanya ivo mkuu john hawezi fanya uo upumbavu maana si wa kutishwa kwa maneno yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom