jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,052
- 28,242
"(3) Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii
ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au
wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa na
mtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza
kufungua shauri katika Mahakama Kuu."
Hapo juu ni nukuu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ambayo inampa fursa mtu ambaye anahisi haki yake au haki kwa ujumla imekiukwa basi afuate njia ya kikatiba iliyopo na akifanya tofauti bila shaka anakiuka katiba.
Lissu alianza kumtusi Nyerere,Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli kisa ukiukwaji wa haki n.k.
Je kama wakili kwa nini hatumii njia ya kikatiba iliyopo na badala yake anahangaika kupiga kelele kama wale wahubiri wa masokoni?