Tundu Lissu anakiuka Katiba kwa jinsi anavyolalamikia suala lake

Kutoa maoni ni tofauti na kushutumu.
Yaani unaposema bunge halijanipa stahiki zangu it means umeshutumu.Unaposema Polisi hawajashughulikia Suala langu la kupigwa Risasi it means umeshutumu.

Ni mara ngapi wananchi wa kawaida wanaenda mahakamani kudai stahiki zao au ni mara ngapi watu ambao ni laymen wa sheria wanaenda kwa wanasheria kusaidiwa kudai haki itendeke kwao au ndugu zao?

Ni wakati gani unaanza kuidai haki kikatiba na ni wakati gani unaanza kupayuka ughaibuni?
Kuna tofauti kati ya kushutuma na kueleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"(3) Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii
ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au
wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa na
mtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza
kufungua shauri katika Mahakama Kuu."


Hapo juu ni nukuu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ambayo inampa fursa mtu ambaye anahisi haki yake au haki kwa ujumla imekiukwa basi afuate njia ya kikatiba iliyopo na akifanya tofauti bila shaka anakiuka katiba.

Lissu alianza kumtusi Nyerere,Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli kisa ukiukwaji wa haki n.k.

Je kama wakili kwa nini hatumii njia ya kikatiba iliyopo na badala yake anahangaika kupiga kelele kama wale wahubiri wa masokoni?
Usingizi unasikosekana Magogoni Lumumba na sasa kwa wa buku7 hahahaha!!!
 
unakumbuka kikao kati ya familia ya lisu na ndugai? unaweza kutupa matokeo yake?

Hakuna sehemu imeandikwa wafanye Vikao Spika na ndugu wa Mgonjwa

Zipo taratibu zake Na kwa taarifa yako Accounting Officer wa Bunge Ni Katibu sio Spika
 
Ma bashite ya ccm hovyo kabisa mara ngapi amesema ameomba n na na amenyimwa kwa kuwa bila kupata na Rufaa sijui angejipaje rufaa wakati alikuwa amezimia
Kwani aliendaje Nairobi akiwa hajitambui hata ashindwe kwenda Muhimbili?
 
Angelogwa kwenda muhimbili leo ingekuwa historia. Ni hivi ondoa wazo la yeye kupelekwa muhimbili maana ni hospitali inayofuata amri ya rais na sio weledi. Cha muhimu kwake ni uhai sio hizo taratibu zenye kutii utashi wa mtu.
Zitto aliwahi kutibiwa Muhimbili na kupewa rufaa kwenda nje ya nchi
 
Back
Top Bottom