Tundu Lissu anakiuka Katiba kwa jinsi anavyolalamikia suala lake

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
31,917
2,000
"(3) Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii
ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au
wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa na
mtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza
kufungua shauri katika Mahakama Kuu."

Hapo juu ni nukuu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ambayo inampa fursa mtu ambaye anahisi haki yake au haki kwa ujumla imekiukwa basi afuate njia ya kikatiba iliyopo na akifanya tofauti bila shaka anakiuka katiba.

Lissu alianza kumtusi Nyerere,Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli kisa ukiukwaji wa haki n.k.

Je kama wakili kwa nini hatumii njia ya kikatiba iliyopo na badala yake anahangaika kupiga kelele kama wale wahubiri wa masokoni?
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,661

ndugu, pia kumbuka kuna vipengele vifuatavyo katika katiba yetu ambavyo Tundu Lissu amekuwa mhanga na kupitia kwavyo anaweza kumshitaki mtu vile vile..... sheria inakata kotekote!

Ibara ya 13(6)(e):
"Ni marufuku kwa mtu kuteswa, kuadhibiwa kinyama au kupewa adhabu zinazomtweza au kumdhalilisha"

Ibara ya 14:
"Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria".
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
31,917
2,000
Umenukuu vizuri;
"...anaweza" kufungua, kwa kiingereza "...he may".
Hakuna "he Shall". Sio lazima.

Let the world and heavens be informed that we have a wolf in sheep's skin.
Fursa ya kufungua shauri anayo kulialia kunatoka wapi?
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,044
2,000
Mbowe yupo rumande bado hajafungwa acha kuweweseka
Hahahaa una matatizo ya ubongo, hizo ni terminologies tu, kama yuko rumande anafanyeje huko? Kajipeleka au nyie mbwa ndio mmepelekea? Ngojeni sasa muipate fresh. shetani wakubwa nyie
 
S.Liondo

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,400
2,000
"(3) Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii
ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au
wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa na
mtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza
kufungua shauri katika Mahakama Kuu."

Hapo juu ni nukuu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ambayo inampa fursa mtu ambaye anahisi haki yake au haki kwa ujumla imekiukwa basi afuate njia ya kikatiba iliyopo na akifanya tofauti bila shaka anakiuka katiba.

Lissu alianza kumtusi Nyerere,Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli kisa ukiukwaji wa haki n.k.

Je kama wakili kwa nini hatumii njia ya kikatiba iliyopo na badala yake anahangaika kupiga kelele kama wale wahubiri wa masokoni?
Kwani waliompiga risasi walimpiga kwa kutumia kifungu kipi cha katiba? Na waliokataa kugharimia matibabu yake walitumia kifungu kipi cha katiba? Na waliogoma kuwasaka waliompiga risasi kwa kudai wanamtaka dereva wake kwanza wametumia kifungu kipi cha katiba? Na kama angeuawa kwenye tukio lile, je angeenda kushtaki mahakamani kivipi? Na Je una uhakika kuwa Lissu hakuwahi kutoa taarifa yoyote katika vyombo husika kuwa maisha yake yanafuatiliwa na yako hatarini? Na kama ni ndio, ni hatua gani zilichukuliwa ili kumlinda? Jibu kwanza haya maswali ndipo utetee hoja yako.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
31,917
2,000
Not a must just a willingness if and only if shall be could in place of may then that could a problem otherwise is a choice
Hakuna fursa nyingine ya kupata haki hiyo kupitia katiba ....it is a no alternative choice
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,296
2,000
"(3) Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii
ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au
wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa na
mtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza
kufungua shauri katika Mahakama Kuu."

Hapo juu ni nukuu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Ambayo inampa fursa mtu ambaye anahisi haki yake au haki kwa ujumla imekiukwa basi afuate njia ya kikatiba iliyopo na akifanya tofauti bila shaka anakiuka katiba.

Lissu alianza kumtusi Nyerere,Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli kisa ukiukwaji wa haki n.k.

Je kama wakili kwa nini hatumii njia ya kikatiba iliyopo na badala yake anahangaika kupiga kelele kama wale wahubiri wa masokoni?
Kufungua au kutokufungua si uamuzi wake?

Na nani kakwambia haji kufungua?

Au unataka aje kufungua kwa muda unaotaka wewe binafsi?

Well,Mr Jingalao!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom