Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anahutubia kwa Kilugha, NEC wamekaa Kimya, Je, wanamuogopa? Sheria inasemaje?

Kwa namna unavyomdhalisha Rais wetu sidhani kama anaweza kukukabidhi nchi.kumbuka kampeni ni kama interview wakati wa interview lazima uwe mnyenyekevu. Mimi kama mimi ningekuwa Rais ukanidhalilisha kwa namna hii hata kwa mtutu siwezi kukupa nchi.

Wewe unasema eti Rais ni Muuaji! Hivi kweli mwanasheria nguli kama wewe unaweza kusema kuwa Rais ni Muuaji wakati huna clear evidence? Lugha yako hii na mahubiri yako haya yanaligawa ttaifa. NEC mnatakiwa kumfungia milele huyu, hafanyi kapeni kwa ajiri ya kutafuta kura bali kwa sasa anafanya vita ya maneno na naweza kuiita cold war.

Jamani tukumbuke kuwa sisi ni binadamu ,tunapita .kesho upo kesho kutwa haipo.leo utakuwa Rais kesho utakuwa raia wa kawaida. Tukumbuke watoto wetu na wajukuu wetu. Yunataka kutengeneza taifa mithiri ya Somalia, Burundi, Rwanda, Libya, Syria, Iraq etc.
Yaani ya Lissu ndiyo unayaona ?! . Hawa wanaowabagua WaTz walioamua kuchagua vyama vingine badala ya CCM unawasemeaJe ?! .
 
Aachwe tu haina effect mimi mwenywe ni mnyiramba. Aachwe tu asipewe political mileage.
 
Ila huyu Lissu, ni kiboko, na anajua kujibu mapigo. Hata ile mikutano ya barabarani, kisingizio,… WANANCHI WAMEMSIMAMISHA,…. hairuhusiwi, lakini kwa vile muasisi ni JPM, na NEC haikemei na kumkataza, basi na yeye anafanya hivyo. Ama kweli, huyu sio Lowassa au Mbowe!
Hahahaha!!! Ni kweli kabisa Mkuu yaani huyu jamaa anajua Sana kumzingua magufuli
 
Propaganda hizi hazijaanza leo tangu enzi za Mwl Nyerere tuliambiwa ni Mtutsi na hata nikisomaga historia ya Makabila nagundua Wahadzabe ndo Kabila pekee lenye asili ya hapa hapa Miaka 600 iliyopita makabila Mengine yamekuja tu as results on Diversify of Animals.
 
Salaam Wakuu,

Kwenye Kampeni za Uchaguzi, Wagombea wanalazimishwa kuongea Kiswahili au wawe na Mkalimani pale penye ulazima.

Sasa inakuaje Lissu Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA anaongea kilugha halafu Tume ya Uchaguzi(NEC) inachekelea?

Lissu afungiwe tena siku saba ili ajue hatutaki ukabila.

Hotuba ya Lissu Singida ifanyiwe review.

Mia.

View attachment 1596946
Huyu Lissu ni mtu hatari sana, wa kulaumiwa ni wale walioshindwa kumuuwa kwa risasi.

Hata kura yangu kama haitohesabiwa lakini lazima nimpigie Ni YeYe
 
Salaam Wakuu,

Kwenye Kampeni za Uchaguzi, Wagombea wanalazimishwa kuongea Kiswahili au wawe na Mkalimani pale penye ulazima.

Sasa inakuaje Lissu Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA anaongea kilugha halafu Tume ya Uchaguzi(NEC) inachekelea?

Lissu afungiwe tena siku saba ili ajue hatutaki ukabila.

Hotuba ya Lissu Singida ifanyiwe review.

Mia.

View attachment 1596946
Kuna dish lilikuwa linazungumza kisukuma kule kanda ya ziwa, lile hamkulisikia nyie nzi wa kijani?

Halafu kumbe Lisu mnampenda ndo maana mnafatilia anazungumza nn
 
Salaam Wakuu,

Kwenye Kampeni za Uchaguzi, Wagombea wanalazimishwa kuongea Kiswahili au wawe na Mkalimani pale penye ulazima.

Sasa inakuaje Lissu Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA anaongea kilugha halafu Tume ya Uchaguzi(NEC) inachekelea?

Lissu afungiwe tena siku saba ili ajue hatutaki ukabila.

Hotuba ya Lissu Singida ifanyiwe review.

Mia.

View attachment 1596946
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS VICHWA VYA WATU VIMEJAA MBALIMBALI NA KATHALIKA

UTAWALA WA CHAMA KIMOJA ILIKUWA KUORDER TU

1. ATEMBEE UCHI

2. FUKUZA KAZI

3. CHANA NGUO

4. LAZIMA ANIPENDE MIMI SIYO YULE

5. HATAKIWI KUOA/KUOLEWA

6. AFIKIRISHWE UJAMAA PEKEYAKE

7. HAFIKIRI TENA

8. TUNATAKA MOYO

9.TUNATAKA INI

10. ERROR TERM

WATU WANATEKELEZA KWA SABABU NI RAHA KUWA KARIBU NA KIONGOZI
 
Kwa namna unavyomdhalisha Rais wetu sidhani kama anaweza kukukabidhi nchi.kumbuka kampeni ni kama interview wakati wa interview lazima uwe mnyenyekevu. Mimi kama mimi ningekuwa Rais ukanidhalilisha kwa namna hii hata kwa mtutu siwezi kukupa nchi.

Wewe unasema eti Rais ni Muuaji! Hivi kweli mwanasheria nguli kama wewe unaweza kusema kuwa Rais ni Muuaji wakati huna clear evidence? Lugha yako hii na mahubiri yako haya yanaligawa ttaifa. NEC mnatakiwa kumfungia milele huyu, hafanyi kapeni kwa ajiri ya kutafuta kura bali kwa sasa anafanya vita ya maneno na naweza kuiita cold war.

Jamani tukumbuke kuwa sisi ni binadamu ,tunapita .kesho upo kesho kutwa haipo.leo utakuwa Rais kesho utakuwa raia wa kawaida. Tukumbuke watoto wetu na wajukuu wetu. Yunataka kutengeneza taifa mithiri ya Somalia, Burundi, Rwanda, Libya, Syria, Iraq etc.
Hivi nyinyi mataga huwa mnatumia viungo gani vya mwili kufikiri kabla ya kuandika jambo ??, kwani si kweli kwamba huyo mhutu wenu hajaua watu ?, Lissu amesema kwa sababu anafahamu kwamba magufuli yuko nyuma ya matukio yote ya mauaji yaliyowahi kutokea hapa nchini, na ndio maana amesema kwamba watu wametekwa na wengne kuuawa wakati wa utawala wa magufuli, au wewe hukuwahi kusikia matukio ya utekaji na uuaji wa watu ???. yuko wapi Akwilin ?, yuko wapi Mwangosi ?, yuko wapi Kamanda Mawazo ?, yuko wapi Saanane ?.
 
Hapo ndo ninapompendea Lissu, tumepiga kelele humu Mrundi anahutubia Kisukuma, wewe na misukule wenzio mkatetea. Lissu kawajibu mmetoka kama mmechokonolewa. Mkiweka ugoko Lissu anaweka jiwe.
Kufuatana na hii kauli yako, Lissu anamfatilia Magufuli kwa nyuma - hivyo Magufuli akishinda na kuwa rais tena, Lissu atakuwa anachungulia ikulu. Bahati mbaya hiyo ni nafasi moja tu Lissu hatamgeza tena.
Lissu anashindwa wapi kuanzisha ya kwake? Mara zote anasubiri Magufuli atende yeye a copy!
 
Kwahiyo hizo sheria za NEC zinamhusu Tundu tu?

Acheni kujitoa ufahamu, hujamsikia baba jeje, kahutubia mara ngapi kilugha kanda zile kwenye kampeni zake na hao NEC wapo kimya?

Lissu anajua kuchokoza, anafaata kama huyo baba J. Then mmuguse sasa!

Kwa taarifa yako ni kwamba NEC hawacheki ila hawajui waanzie wapi maana kama ni upuuzi kauanzisha aliyewapa mamlaka na hawaja kemea, baba jeje na Lissu kwenye kampeni wapo sawa kama wote wagombea.

Hivi nani kawaroga nyie?
Sheria zipo ajili ya Chadema na ACT pekee
 
Salaam Wakuu,

Kwenye Kampeni za Uchaguzi, Wagombea wanalazimishwa kuongea Kiswahili au wawe na Mkalimani pale penye ulazima.

Sasa inakuaje Lissu Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA anaongea kilugha halafu Tume ya Uchaguzi(NEC) inachekelea?

Lissu afungiwe tena siku saba ili ajue hatutaki ukabila.

Hotuba ya Lissu Singida ifanyiwe review.

Mia.

View attachment 1596946
Yaani nifike nyumbani niache kusalimia hata kwa kilugha ache hizo wewe pambaneni na hali zenu
 
Kwa namna unavyomdhalisha Rais wetu sidhani kama anaweza kukukabidhi nchi.kumbuka kampeni ni kama interview wakati wa interview lazima uwe mnyenyekevu. Mimi kama mimi ningekuwa Rais ukanidhalilisha kwa namna hii hata kwa mtutu siwezi kukupa nchi.

Wewe unasema eti Rais ni Muuaji! Hivi kweli mwanasheria nguli kama wewe unaweza kusema kuwa Rais ni Muuaji wakati huna clear evidence? Lugha yako hii na mahubiri yako haya yanaligawa ttaifa. NEC mnatakiwa kumfungia milele huyu, hafanyi kapeni kwa ajiri ya kutafuta kura bali kwa sasa anafanya vita ya maneno na naweza kuiita cold war.

Jamani tukumbuke kuwa sisi ni binadamu ,tunapita .kesho upo kesho kutwa haipo.leo utakuwa Rais kesho utakuwa raia wa kawaida. Tukumbuke watoto wetu na wajukuu wetu. Yunataka kutengeneza taifa mithiri ya Somalia, Burundi, Rwanda, Libya, Syria, Iraq etc.
Kwahiyo yule mgombea anaposema mkiniletea mpizani sitoleta maendeleo kwenu huwa analiunganisha taifa au anafanyaje hapo ?
 
Hapo ndo ninapompendea Lissu, tumepiga kelele humu Mrundi anahutubia Kisukuma, wewe na misukule wenzio mkatetea. Lissu kawajibu mmetoka kama mmechokonolewa. Mkiweka ugoko Lissu anaweka jiwe.
Aiseee
 
Kanuni za NEC ndizo zinazokataza lugha za kikabila kwenye kampeni. Sasa kwa sababu alieanza kukiuka kanuni hagusiki basi kanuni hiyo mnataka ifutwe kabisa? Hiyo siyo nchi tena; labda fiefdom!

Sijasema ifutwe mimi bali sioni hata kama kuna haja ya kusimamia sheria hiyo, kifupi ni ya kipuuzi tu.
 
Kwahiyo hizo sheria za NEC zinamhusu Tundu tu?

Acheni kujitoa ufahamu, hujamsikia baba jeje, kahutubia mara ngapi kilugha kanda zile kwenye kampeni zake na hao NEC wapo kimya?

Lissu anajua kuchokoza, anafaata kama huyo baba J. Then mmuguse sasa!

Kwa taarifa yako ni kwamba NEC hawacheki ila hawajui waanzie wapi maana kama ni upuuzi kauanzisha aliyewapa mamlaka na hawaja kemea, baba jeje na Lissu kwenye kampeni wapo sawa kama wote wagombea.

Hivi nani kawaroga nyie?
Ila naona kajirekebisha sana. Kaacha yale maneno ya " aliua, aliteka watu" nk. Walao anasema hayo yalitokea katika utawala wa miaka mitano ya awamu hii. Akiendelea hivyo nadhani hatafungiwa tena.
 
Kwa namna unavyomdhalisha Rais wetu sidhani kama anaweza kukukabidhi nchi.kumbuka kampeni ni kama interview wakati wa interview lazima uwe mnyenyekevu. Mimi kama mimi ningekuwa Rais ukanidhalilisha kwa namna hii hata kwa mtutu siwezi kukupa nchi.

Wewe unasema eti Rais ni Muuaji! Hivi kweli mwanasheria nguli kama wewe unaweza kusema kuwa Rais ni Muuaji wakati huna clear evidence? Lugha yako hii na mahubiri yako haya yanaligawa ttaifa. NEC mnatakiwa kumfungia milele huyu, hafanyi kapeni kwa ajiri ya kutafuta kura bali kwa sasa anafanya vita ya maneno na naweza kuiita cold war.

Jamani tukumbuke kuwa sisi ni binadamu ,tunapita .kesho upo kesho kutwa haipo.leo utakuwa Rais kesho utakuwa raia wa kawaida. Tukumbuke watoto wetu na wajukuu wetu. Yunataka kutengeneza taifa mithiri ya Somalia, Burundi, Rwanda, Libya, Syria, Iraq etc.
Acha kulialia boya wewe, Lisu yupo sahihi 100%.
Wapo wapi waliompiga risasi? Wapo wapi waliomteka Ben Saa8 na Kanguye?
Ipi kauli ya rais dhidi ya matendo hayo?
Alishawahi kukemea au hata tu kuwafariji ndugu zao?
Kwa nini asisemwe kuwa yupo nyuma ya hayo yote?
Kumbuka kauli ya Pompeo dhidi ya Bashite
 
Hili la lugha Mahera atapotezea maana mungu wa chato ndio kalianzisha. Kuna lile la vyama kuungana Cheyo kakurupuka kumuunga Magufuli sijui uzee hakusikia ya Tume?.
 
Back
Top Bottom