Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

kama nyie ma CCM mna hoja basi kimbieni mahakamani mkamshitaki……………………….
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi...
Ndiyo ni mwizi amepeleka fedha Mayanga contractor kujenga uwanja wa ndege wa Chato bila idhini ya Bunge.
 
Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Kwani nani alijiita jiwe?
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi...
Yeye alietuhumiwa ndie mwenye wajibu wa kushtaki ili anaemtuhumu atoe ushahidi wa tuhuma! sasa kama mtuhumiwa yupo kimya, basi wewe muaminishe anaetuhumu kuwa tuhuma zake si za kweli!!
 
Hata Mimi nimeshangaa kuna mahala anatumia lugha ambayo haipaswi kutolewa na mtu anayegombea nafasi muhimu kama hii.Wale viongozi wawili wa dini ina maana hawamshauri? Hata kumuita mgombea mwenzake "jiwe" I don't think it is fair. Pia sioni kama anawanadi vizuri wagombea udiwani.
Ndiyo, ni lugha zisizo furahisha maskioni mwa baadhi yetu, kama hizi zinazo toka vinywani mwa wana CCM dhidi ya Lissu
Kauli kama Lissu ni kibaraka wa mabeberu, mkichaguwa wapinzani wataleta vita, .......
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi...
MTU akitete Ushoga Anaeeza Ongea lolote akadhani yupo sawa ila ni Tabia za Hii Jamuiya ya Kishoga kuwa na tabia zisizoeleweka Na ili umwelewe lazima nawe uwe mshiriki Wa Jumuiya Hiyo ndio maana Hakuna Mwana CCM atamwelewa Lissu au Kuwaelewa CHADEMA Hawa Wakikuambia HAKI inaminywa Hawazungumzii Haki nyingine yoyote WANAZUNGUMZIA HAKI YA USHOGA...

maana Nyanja nyingine zote Wanahaki Mpka wanavimbiwa ila Bado wanataka USHOGA BABA MAGU NA WATANZANIA WENGINE WENYE UCHUNGU NA WATOTO WETU TUKEMEEE USHOGAA HATA KAMA ITABIDI KWA MTUTU
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi...
Kwani unahitaji Ushahidi gani Kujua mgombea wa CCM ni mwizi?

Jiulize maswali machache kati ya maswali Elfu 10 ambayo Ungeweza kujiuliza:

1. Mabilioni ya Vitambulisho vya Wamachinga yanahifadhiwa Wapi, na yanatumikaje? Kwanini anayelipa Elfu 20 hapatiwi risiti ya EFD?

2. Inakuwaje Kiwanja cha Ndege Chato kijengwe na Kampuni ambayo ana maslahi nayo? Inakuwaje malipo yafanywe na Doto James, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye ni mtoto wa Dada yake Magufuli?

Na madudu mengine Maelfu kwa maelfu, akielezwa Ukweli anasema anatukanwa, wakati anafanya huo uchafu hakujua ni matusi hayo?
 
Aisee, inawezekana kweli jiwe limelegea safari hii. Nikiwa na kumbukumbu jinsi Halima Mdee, Sugu, Mdude, nk walivyosoteshwa kwa manyanyaso, mahabusu na hata jela kwa “matusi” na maneno ya uchochezi kwa Rais HALAFU leo tunashuhudia Lissu anapiga “free style” mistari ya “maudhi” kwa mheshimiwa jiwe & CCM co. bila kujibiwa zaidi ya vilio vya mataga, najiuliza utawala wa nchi umebadilika nini?

Simsikii Siro, Mambosasa wala mzee wa vipigo vya kuchakaza wakitoa mikwara dhidi ya huyu “mvuruga amani ya nchi”. Tume (NEC) inabweka kwa mbaliii. Bila shaka aliyeandaa tukio la Lissu kuzimwa kwa risasi alifanya kosa kubwa sana la kimkakati. Ile “survival” ya zile risasi imempa nguvu ya kipekee inayomwezesha kusema hadharani mambo ambayo leo hii wengi wanayasemea gizani. Amekuwa mzimu uliorejeshwa kumwaga sumu kwenye amani feki ili kurejesha uhai wa kweli wa taifa. Hakika mambo hayatakuwa kama yalivyokuwa bila kujali nani anaupata u-Rais na kwa njia gani. It would no longer be business as usual.
 
Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi.

Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Raisi Magufuli Mwizi pamoja na MaRaisi wote waliopita isipokuwa Nyerere.

Yeye ni mwana Sheria na anajua mafunzo yake ya sheria yanasema " INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY", sasa sijui ni sheria gani anayoitumia kuwaita waheshimiwa hawa wezi, na kama anao ushahidi kama ni wezi, kwa nini asiwafungulie kesi na iwapo mahakama itawahukumu, basi hata sie tutakuwa na haki ya kuwaita wezi.

Lissu anazungumzia HAKI, na anailaumu awamu hii kuwa haitendi haki. Jee yeye hapa anatenda haki?? TL Practice what you preach
Bado Mambo Ni mengi kwanza aeleze rambirambi za tetemeko la Kagera kapeleka wapi ? Orodha ya michango yote ipo , Kama sio wizi nini ?
 
Back
Top Bottom