Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Amani iwe kwenu.
Tundu Lissu pengine kwa saaa ndiye mwanasiasa mwenye kipaji cha ubishi na sio hoja kama wengi walivyoamini,na pengine ni ubishi wa ukoo.
Eti anaongopea umma kuwa mawaziri hawana mamlaka ya kuwajibisha watumishi ili hali Huyu Tundu Lissu anataka mawaziri hao hao wawajibishwe kwa makosa ya watumishi walio chini yao.
Tundu Lissu umeonyesha dhahiri wewe ni fisadi,wakala wa mafisadi au unatumika kupotosha umma kwa kulipwa vipande vya pesa. Leo Meya wa Kinondoni kafanya ya Dr.Magufuli na kuachana na genge lenu la mafisadi mliojificha chadema.
Kwa sasa bila tashwishwi nimeamini maneno ya Werema aliyewahi kukwambia "kazi ya kichwa chako ni kufugia nywele tu"
Lissu uliyepinga ufisadi leo umekuwa wakala na mshiriki mkuu wa ufisadi.
Kwa mujibu wa Lissu yeye ndiye mwandishi wa orodha ya mafisadi 11 baada ya kufanya utafiti wa kina wenye ushahidi na vielelezo....bila kufanya utafiti mwingine....akawaondo Lowasa na marafiki zake.
AIBU KUBWA!.