Acha ulopolopo!Ni mlinzi yupi sasa ambaye Lissu alikuwa akimzungumzia?
Acha ulopolopo!Ni mlinzi yupi sasa ambaye Lissu alikuwa akimzungumzia?
"The guy you see behind him all the time"Kama hakumtaja huyo mlinzi kwa jina si vyema kumlisha maneno kwa ubashiri wako....walinzi wa JPM walikuwa wengi,je unawajua wote?
Uko sahihi kiongozi wanguUnajua mkuu wabongo wengi comprehension zao ni below margins!
Hebu fikiria huyo kilaza anajumuisha kwanza kisha anakuja uliza swali chini kutaka ujumuisho!
Anamhukumu mwenzie kwa chuki huku akimtuhumu huyo huyo kuwa ana chuki!
Shida ni kwamba hawa pakashume hawana akili za kuanzisha mada kisha wakaweza ficha upuuzi na hisia zao.
Mfano huku chini ameonesha wazi wazi kuwa na chuki na alimwenzishia uzi halafu anataka kujifanya yupo neutral!!
Hawa ndio wanawafanya waafrika wenzao waonekane ni Nyani!
Aulizwe lissu
Tusimjibie lissu, aulizwe.Tabia ya kusemea watu hapana
Unajisumbua bure kuandika maneno mazito hayo hizi takataka haziwezi kukuelewa kamweWhat God did to your pompous man and Lissu justifies who righteous was. Imagine 16 bullets never killed a righteous person but just a flue and an electric shock of 0.0001 voltage killed a bad man.
Muulize Lissu acha ulopolopo. Lissu aliposema kwa mara ya kwanza kuwa JPM kazima mlibisha, hili la mlinzi wake naye kutangulia mbele za haki, sio jipya, na Rais hana mlinzi mmoja. Mtafute Lissu akutajie jina kama unalihitaji!Wewe tuambie ni Mlinzi yupi kafa wa Rais? Unakwenda kwa Platform kubwa vile kusema uwongo.Ndiyo maana hawezi taja specific jina kaishia kubwabwaja tu,mwambieni aendelee na matibabu ya Akili,bado hajakaa sawa.
Na wewe unayeamini bandiko lisilo na hitimisho? Bandiko unaloliamini halina uhakika wa mhusika kwenye tuhuma, walinzi aliokuwa nao ni zaidi ya uliowatambua, usiwe mwepesi wa kuamini jambo, nenda taratibu mwisho utapata uhakika.
KweliHakuna raha duniani kama kushuhudia kifo cha adui yako that's all.
Kwa vyovyote mtakavyojifariji yule malaika wa chuki na giza aliyezikwa kichawi huku mkimuita Mungu alishindwa iokoa nafsi yake akafia mbali...
Yes kila mtu atakufa lakini kuna vifo vya wengine hushangaza na kuleta furaha sana!
Angalia how composed Mbowe na Zitto wakiwa wanajenga hoja kisha mtazame Lissu. In short Lissu katika uwanja wa siasa is only smart anapoongelea jambo ambalo unataka kulisikia ila kama upo upande tofauti nae hana uwezo kukushawishi kua upande wake.
Mkuu ile vidio hukuiona? Alivyoviringishwa kwenye kile kigozi?
Acha ubishi nyani tafuta picha siku Mahiga anaapishwa alikua Mahiga,Kijazi,Magu na jamaa mmoja hv ,ndo huyo alifarikiNi yupi sasa ambaye Lissu alikuwa anamzungumzia?
Ni mlinzi yupi wa Rais Magufuli ambaye kafa kwa C-19?
Kile kichwa kilivyokaa tu unajua yule jamaa ni pimbi...Mongolian idiot!!
Kwa hiyo hata marehemu alimuzushia ugonjwa na baadaye kifo?!.Hata kama hajataja jina. Maelezo aliyoyatoa yanaelekeza kwa huyo jamaa.
Lissu ni mropokaji mno.
Wewe ni msukule wa bwana yuleNilidhani una ushahidi to the contrary, kumbe unaongea bila uhakika.. Ikiwa ni kweli je?!!!
Unahangaika sana na Lissu, hunaga mambo mengine ya kufanya??Hata kama hajataja jina. Maelezo aliyoyatoa yanaelekeza kwa huyo jamaa.
Lissu ni mropokaji mno.
Kwani ni aibu kuugua Corona?!. Corona siyo kaswende . Watu maarufu zaidi ya Maghufuli wameugua na kufa kwa Covid 19Wewe una uhakika kuwa kafa kwa C-19?