chaliko
Senior Member
- Apr 1, 2019
- 180
- 802
Salaam wote,
Hii ni nyuma ya Pazia
Siku za hivi karibuni kwenye Mitandao ya Kijamii zimeonekana picha mbalimbali za Wakili Msomi Tundu Lissu akiwa pamoja na baadhi ya Wanachama wa CHADEMA.
Picha hizi zimepigwa kwenye Mazingira halisi ya Tanzania na ni Picha za Majuzi tu baada ya Mh. Tundu Lissu kupona.
Kilicho-mkera NAMBA 1 ni kuziona picha hizi wakati hakuwa na taarifa zozote juu ya ujio wa Mh. Tundu Lissu.
Maswali aliyo jiuliza Namba 1 na hata sisi wadau.
1. Tundu Lissu alikuja lini Tanzania?
2. Alikuja kufanya nini?
3. Alikuja na nani?
4. Aliondoka lini?
5. Je Jeshi la Polisi lilikuwa halina habari na ujio huo?
6. Je wanao-ongoza Intelijensia yetu wapo sawa?
Haya maswali yamepelekea Mh. Kangi Lugola kutumbuliwa kwa sababu vitengo vyake vimeshindwa kupata Majibu ya uhakika.
[ Hii habari ya kutumbuliwakl kwa sababu ya ku-saini mkataba ni uongo kwa sababu hizi
1. Kabla ya ku-saini Mkataba - IKULU ILIJUA
3. Aina ya Mkataba - IKULU ILIJUA
3. Nani alitoa kibali Cha yeye kwenda Romania - IKULU
NB: Mkataba ni Porojo ila ukweli ni huo Nyuma ya Pazia ]
I stand to be corrected
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app