Tundu Lissu ametumia haki yake kikatiba kuhoji alipo mkuu wa nchi. Sio jambo jema kumshambulia kana kwamba amefanya kosa

..wananchi walipaswa kuhabarishwa kwamba raisi wao yuko kitandani anaumwa.

..usiri huo uliwanyima wananchi nafasi ya kumuombea raisi wao kwa dua na sala.

..na huenda maombi hayo yangeweza kuokoa maisha ya rais magufuli.
 
Back
Top Bottom