Tundu Lissu ambana RPC mahakamani, RPC ashikwa kigugumizi (Shein na Seif) nao wahitajika mahakamani

Hahaha huyu ndiye yule alikuwa anasema sijui kila swali na leo hapo tena kabananishwa hadi anatia huruma

Serikali mkiwa na kesi za namna hii kwa mtu kama Lisu basi jitahidini kuwaweka mashaidi wanaojielewa ,sasa huyu hata kuhesabu aya ya kwenye makala hawezi ndio atatoa ushahidi wa kumuweka Tundu hatiani ?

Savage
Yeye ni mlalamikaji ila anasema jukumu la kuwashitaki vigogo siyo lake--- this is too much....
 
hvi mahakaman kumbe unaruhusiwa kuuliza tu swali lolote litakalokujia?,nakumbuka Lissu aliwah kumbana shahidi mmoja maswali mfululizo ya kumchanganya mwisho wa majibu ikawa
sijui
sijui
sijui
mpaka mwisho then lissu akamuuliza kama hujui umekuja kufanya nin hapa?
 
Huyu anajiabisha bure hizi kesi ndo maana huwa wanashindwa
Lissu: Kwa uelewa wako mtu anayetoa matamshi yenye kuibua hamasa au chuki dhidi ya Serikali ni lazima uwe uchochezi?

Kamanda Hamdani: Kwa uelewa wangu ni lazima uwe uchochezi.
Francis12 , mbona kama vile hapa alijibu inavyotakiwa? Kosa la jibu liko wapi? angalia post yangu #19
 
Hii inatokana na ajira za serikali kutolewa kwa kujuana.
Tumefaidi wengi kwenye hili sasa mapungufu yake ndio yanaonekana. Baadaya kubebwa saana, mbeleko inakatika, ukishuka swali unakula swali la Lisu-hautajua uanzie wapi. Unauliza hata kama mitihani, majaribio na matokeo hayakuangalia huyu kaletwa na afande gani.
 
Huyu anajiabisha bure hizi kesi ndo maana huwa wanashindwa
Lissu: Kwa uelewa wako mtu anayetoa matamshi yenye kuibua hamasa au chuki dhidi ya Serikali ni lazima uwe uchochezi?

Kamanda Hamdani: Kwa uelewa wangu ni lazima uwe uchochezi.
kwa nini waliruhusu vyama vingi?
Ni kwa ajili ya kuchochea hamasa na upendo kwa serikali tukufu .......?!
 
Kwa mambo kama hayo ndio wampe urais wa TLS thubutu, Mwakyembe kwa maelekezo ya kutoka juu ameshasema atafuta hicho chama cha wanasheria ikiwa Lissu Atachaguliwa kuwa Rais
 
Tumefaidi wengi kwenye hili sasa mapungufu yake ndio yanaonekana. Baadaya kubebwa saana, mbeleko inakatika, ukishuka swali unakula swali la Lisu-hautajua uanzie wapi. Unauliza hata kama mitihani, majaribio na matokeo hayakuangalia huyu kaletwa na afande gani.
Hawa wazenji huku kugumu hawapawezi, wamemshindwa Maalimu pekee sembuse huku kwa wajanja?
 
Ultimately gymnastics za Tundu zitafika mwisho.Anadhani ana akili kupita watu wote ! Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, wahenga walisema !
Umepotea njia upo mahali ambapo sii sehemu yako.Hii mipasho unayoleta humu hadija Kopa hayuko huku tafuta jinsi nyingine ya kumfikishia aya mashairi yako yasiyo na vina wala bahari.
 
Back
Top Bottom