Mjinga wewe ktk ishu ya intelijensia.Ni hivi,aripoti asiripoti ilimradi taarifa zake zipo ktk media mbalimbali basi tosha kazi inaanza ya kufatilia jambo hilo.Wewe hujasikia kuwa watu wanakamatwa kwa makosa ya mtandao?Sasa jiulize nani alienda kuripoti?Upumbavu ni ugonjwa mbaya sana.Alienda kuripoti!?
ALITOA ANGALIZO KWA IGP NA MKUU WA USALAMA WA TAIFA WKT AKIZUNGUMZA NA PRESS. LKN PIA MWENYEKITI WA BAVICHA ALITILIA MKAZO WKT AKIZUNGUMZA NA MEDIA . KWA NCHI INAYOTHAMINI HUMAN RIGHT ILIKUWA STARTING POINT NZURI. LKN PIA ALITAJA NO YA GARI AMBAYO IMEKUWA IKIMFATILIAAlienda kuripoti!?
Kagamelization......Katika barua yake aliyoiandika mwezi machi mwaka huu kwa wanasheria wenzake wakati akigombea nafasi ya urais. Tundu Lissu alisema kuwa wiki hiyo akiwa Dodoma, watu "kutoka nafasi za juu" walimfuata na kumjulisha kuwa kuna mbinu za kumuuwa. Akasema watu wasipuuzie habari hizo zilizokuwa zikosambaa mitandaoni.
Barua hiyo ilikuwa na heading inayosema "People at top aren't acting and thinking rationally anymore"
One thing for sure, Tundu Lissu siyo mwoga hata kidogo. Mbaya zaidi kwa wadhalimu, Mungu amemwepushia kifo, sasa akirudi ni kama Simba aliyejeruhiwa.
Ni matumaini yangu kuwa hao waliompa hizo taarifa watatoa ushirikiano. Ama pengine waanze kutoa ushirikiano. Sidhani kama Lissu ataacha kuwataja given amekoswakoswa. Kama walishamwambia hao wapangaji mipango, basi amini, Lissu atawataja. Kama hakuambiwa majina, basi sasa ndo wakati muafaka.
Mungu andelee kumpatia nafuu mapema, kwasababu yawezekana kuishi kwake ni mpango wake.
Binafsi nilishangazwa sana ni kivipi Lissu anaendelea kuishi, given kuna watu walio kuwa far less dangerous kwa serikali lakini yakawapata ya kuwapata na wengine wametoweka. Ilipelekea hata wengine kudhani ni mtu wa usalama. Lakini kumbe jamaa alikuwa akiruka viunzi vingi tu na serikali haikumpatia ulinzi.
Acha kuuliza maswali ya kijingaAlienda kuripoti!?
Liko waziMagufuli kama Kagame
Najiuliza hao waliotumwa hiyo kazi, i don't know what will happen to them.Jaribio la kumpoteza mwana demokrasia limeshindikana. Aluta continua.
mkuu, tukumbushe wengine tumesahau... hivi convict katika mauaji ya Wangwe alikuwa nani vile?Watu waliopo juu kutoka kutoka taasisi ipi?
Ref: The late Chacha Wangwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mkuu.Magufuli kama Kagame
Wanakikundi cha 24/7hrs....ile ripoti ya gari na plate namba walizifanyia kazi???Alienda kuripoti!?
Mkuu nakusapoti sana sababu naona watu wengi wanaongea kwa mihemuko tu bila kua na uhakika wowoteSasa tunazidisha tuhuma na itafika wakati tutaharibu hii kesi. Katika tukio kama hili huwa wanaoweza kutiliwa mashaka ni wengi .
Wapinzani wa Lissu na wasiompenda ni aina tatu ama nne.
1. WALE ANAO WAHUJUMU NA KUWAITA MAJINA, AMA WAPINZANI WAKE AS KISIASA.
2. WAKE WANAOTAKA KUTUMIA UHASAMA HUU KUFIFISHA KESI ZAO AMA MJADALA BUNGENI KUHUSU TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI. I.E RIPOTI YA ALAMASI NA TANZANITE.
3. WANAOWANIA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHAKE NA AMBAO WANAMUONA YEYE KAMA PINGAMIZI KUBWA KWENYE HARAKATI ZAO. KWA HIVYO WANAWEZA TUNIS FURSA HII KUMTENDEA MAOVU NA WASITILIWE MASHAKA.
Nina imani ukweli utajitokeza, mwakyemebe alilishwa Simi akapona, na Lissu Atapona tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliripoti kwa Mungu na Mungu amemsaidia dhidi ya watu wabaya waliotaka uhai wakeAlienda kutoa report ya taarifa Polisi hiyo kuwa anataka kuuwawa?
Unajua mnaanza kutoa Hukumu hata hakuna kesi yenyewe!