Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,543
2,000
Tatizo ccm hawawezi kujificha coz watz wanaichukia sn kwa udharimu wake.......Assassin plots zao zote zinafeli coz MUNGU ameshawachoka pia
 

Jaimee

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
2,632
2,000
Mjinga w
Alienda kuripoti!?
Mjinga wewe ktk ishu ya intelijensia.Ni hivi,aripoti asiripoti ilimradi taarifa zake zipo ktk media mbalimbali basi tosha kazi inaanza ya kufatilia jambo hilo.Wewe hujasikia kuwa watu wanakamatwa kwa makosa ya mtandao?Sasa jiulize nani alienda kuripoti?Upumbavu ni ugonjwa mbaya sana.
 

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,535
2,000
Katika barua yake aliyoiandika mwezi machi mwaka huu kwa wanasheria wenzake wakati akigombea nafasi ya urais. Tundu Lissu alisema kuwa wiki hiyo akiwa Dodoma, watu "kutoka nafasi za juu" walimfuata na kumjulisha kuwa kuna mbinu za kumuuwa. Akasema watu wasipuuzie habari hizo zilizokuwa zikosambaa mitandaoni.

Barua hiyo ilikuwa na heading inayosema "People at top aren't acting and thinking rationally anymore"

One thing for sure, Tundu Lissu siyo mwoga hata kidogo. Mbaya zaidi kwa wadhalimu, Mungu amemwepushia kifo, sasa akirudi ni kama Simba aliyejeruhiwa.

Ni matumaini yangu kuwa hao waliompa hizo taarifa watatoa ushirikiano. Ama pengine waanze kutoa ushirikiano. Sidhani kama Lissu ataacha kuwataja given amekoswakoswa. Kama walishamwambia hao wapangaji mipango, basi amini, Lissu atawataja. Kama hakuambiwa majina, basi sasa ndo wakati muafaka.

Mungu andelee kumpatia nafuu mapema, kwasababu yawezekana kuishi kwake ni mpango wake.

Binafsi nilishangazwa sana ni kivipi Lissu anaendelea kuishi, given kuna watu walio kuwa far less dangerous kwa serikali lakini yakawapata ya kuwapata na wengine wametoweka. Ilipelekea hata wengine kudhani ni mtu wa usalama. Lakini kumbe jamaa alikuwa akiruka viunzi vingi tu na serikali haikumpatia ulinzi.
Kagamelization......
 

Say no to actors

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
638
1,000
Mwenyezi mungu nakuomba umponye mpigania haki huyu ndugu Lissu ili tuungane naye ktk harakati za ukombozi wa watanzania.
 

bisti

Senior Member
Aug 29, 2017
168
250
Sasa tunazidisha tuhuma na itafika wakati tutaharibu hii kesi. Katika tukio kama hili huwa wanaoweza kutiliwa mashaka ni wengi .

Wapinzani wa Lissu na wasiompenda ni aina tatu ama nne.

1. WALE ANAO WAHUJUMU NA KUWAITA MAJINA, AMA WAPINZANI WAKE AS KISIASA.
2. WAKE WANAOTAKA KUTUMIA UHASAMA HUU KUFIFISHA KESI ZAO AMA MJADALA BUNGENI KUHUSU TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI. I.E RIPOTI YA ALAMASI NA TANZANITE.
3. WANAOWANIA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHAKE NA AMBAO WANAMUONA YEYE KAMA PINGAMIZI KUBWA KWENYE HARAKATI ZAO. KWA HIVYO WANAWEZA TUNIS FURSA HII KUMTENDEA MAOVU NA WASITILIWE MASHAKA.

Nina imani ukweli utajitokeza, mwakyemebe alilishwa Simi akapona, na Lissu Atapona tuu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakusapoti sana sababu naona watu wengi wanaongea kwa mihemuko tu bila kua na uhakika wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom