Tundu Lissu: Am told, People at the top aren't thinking and acting rationally anymore...

Alienda kutoa report ya taarifa Polisi hiyo kuwa anataka kuuwawa?

Unajua mnaanza kutoa Hukumu hata hakuna kesi yenyewe!

Ni kweli hakuna kesi kama polisi wanatafuta information kwa RAIA unadhani kuna kesi hapo??

Muhukumu kesi ni Mwenyezi Mungu tu maana muda wake ndiyo huongea
 
Sasa tunazidisha tuhuma na itafika wakati tutaharibu hii kesi. Katika tukio kama hili huwa wanaoweza kutiliwa mashaka ni wengi .

Wapinzani wa Lissu na wasiompenda ni aina tatu ama nne.

1. WALE ANAO WAHUJUMU NA KUWAITA MAJINA, AMA WAPINZANI WAKE AS KISIASA.
2. WAKE WANAOTAKA KUTUMIA UHASAMA HUU KUFIFISHA KESI ZAO AMA MJADALA BUNGENI KUHUSU TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI. I.E RIPOTI YA ALAMASI NA TANZANITE.
3. WANAOWANIA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHAKE NA AMBAO WANAMUONA YEYE KAMA PINGAMIZI KUBWA KWENYE HARAKATI ZAO. KWA HIVYO WANAWEZA TUNIS FURSA HII KUMTENDEA MAOVU NA WASITILIWE MASHAKA.

Nina imani ukweli utajitokeza, mwakyemebe alilishwa Simi akapona, na Lissu Atapona tuu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliye husika anajulikana kilichobaki ni ushahidi tu. Udhalimu huwa una mwisho wake. Jambo la hovyo kabisa hili kuwahi tokea katika nchi yetu.
Na Tundu Lissu asipokuja kuwataja hao waliohusika na tukio la kutaka kumuua, na akishapona halaf akiendelea kusema ni watu waliooko juu ndio wanahusika bila hata kutoa hints ni kina nani na kwenda kufungua mashtaka polisi basi madai yake yote ni batili kwa 99%,
SIASA NI PROPAGANDA TU, HATA CHADEMA PIA ILIWATAJA KINA LOWASSA, FREDRICK SUMAYE KUWA WALISHIRIKI UFISADI ILA MWISHO WA SIKU WAKAWAKUMBATIA TU KULE UKAWA,ISHAKUWA TABIA YA MOST LEADERS WA CHADEMA, THEY ACT FOR BENEFIT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom