Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Unadhani bila kukomaa uzalishaji ungesimama kwa miaka minne kule Bulyanhulu? Kwa hiyo unavyopongeza upo sawa. Lakini mtu anaweza kuwa sio msaliti lakini baadae akabadilika.Sheria sio shida issue ni usimamizi. Hta sheria inataka local content iwepo ila hadi nyundo na misumari inaagizwa nje bado!!
Mie simchukii JPM ni Rais wangu ingawa sikumpigia na sitompigia kura mwaka huu. Kwahiyo nampongeza kwa hatua alizochukua hta kma bado ni kiduchu sana ingawa sipendi zinavyokuzwa kuliko uhalisia.
Alafu nipo hpa kukanusha rasmi kuwa Lissu ni msaliti ni yye alianza hii vita tokea enzi za Mkapa kwahyo ningeomba apewe heshima anayostahili na sio kejeli.
Naomba kuwasilisha
Kama sio msaliti mbona alikuwa anatisha kuwa tutashitaliwa. Ina maana alikuwa hajui kuwa kuna voidable contracts?