Tundu Lissu alivyochorwa katuni hii kuna ukweli?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
20108672_1542135672515282_8022619002522727478_n.jpg
 
Du huyu mchoraji au mchekeshaji mbona haelekei kumfanana lisu.....hii itakuwa Lumumba art group
 
Kuchora katuni ni kipaji, ndo maana akina Gado wako juu.. Huyu naona amechorwa na mleta mada, hafananii hata kidogo huyo mleta mada anaemtaja kufanania..
 
Kuchora katuni ni kipaji, ndo maana akina Gado wako juu.. Huyu naona amechorwa na mleta mada, hafananii hata kidogo huyo mleta mada anaemtaja kufanania..
King Kinya......actually ilo ni pozi la kutafuta kiki.
 
Back
Top Bottom