Kushinda kesi Mahakamani kwenye Rushwa si Kipimo bora, kwa sasa anapimwa kwenye ufafanuzi na uchambuzi wa vipengere vya sheria ambayo vilitungwa na kuidhinishwa na ccm lakini wamesahau sasa wanajifanyia mambo hovyo hovyo pasipo kuzingatia zile zile sheria walizotumga wao.Kuna watu wanamwita Tundu LISSu mwanasheria nguli na wakili wa mfano naomba niulize alishawahi kushinda kesi zipi za maana.
Kwanza,kesi yake mwenyewe ya uchaguzi jimbo la Singida Mashariki.Pili,kesi ya uchaguzi ya Lema,Mahakama ya Rufani. Tatu,kesi ya Lwakatare. Najua umeiba comment ya mtu mahali na kuanzisha mada. Vijana wa CCM mko shallow hadi mnatia huruma
Jiongeze mkuu,tafiti kabla ya kujidhalilisha kwa uropokajiKwa hiyo hizo kesi za wabunge watatu ndio zinatosha kumwita mwanasheria nguli?
Haya na wewe legal officer wa chuo kikuu cha Dar es salaam ulishawahi shinda kesi ngapi?
Kushinda kesi Mahakamani kwenye Rushwa si Kipimo bora, kwa sasa anapimwa kwenye ufafanuzi na uchambuzi wa vipengere vya sheria ambayo vilitungwa na kuidhinishwa na ccm lakini wamesahau sasa wanajifanyia mambo hovyo hovyo pasipo kuzingatia zile zile sheria walizotumga wao.
WANATUMIKA TUUKwanza,kesi yake mwenyewe ya uchaguzi jimbo la Singida Mashariki.Pili,kesi ya uchaguzi ya Lema,Mahakama ya Rufani. Tatu,kesi ya Lwakatare. Najua umeiba comment ya mtu mahali na kuanzisha mada. Vijana wa CCM mko shallow hadi mnatia huruma
Kwanza,kesi yake mwenyewe ya uchaguzi jimbo la Singida Mashariki.Pili,kesi ya uchaguzi ya Lema,Mahakama ya Rufani. Tatu,kesi ya Lwakatare. Najua umeiba comment ya mtu mahali na kuanzisha mada. Vijana wa CCM mko shallow hadi mnatia huruma
Thread closedKushinda kesi Mahakamani kwenye Rushwa si Kipimo bora, kwa sasa anapimwa kwenye ufafanuzi na uchambuzi wa vipengere vya sheria ambayo vilitungwa na kuidhinishwa na ccm lakini wamesahau sasa wanajifanyia mambo hovyo hovyo pasipo kuzingatia zile zile sheria walizotumga wao.
labda tunaomba utusaidie ili uitwe nguli unatakiwa ushinde kesi ngapi au ndo wivu wa ..... kuona lisu anaitwa nguliKwa hiyo hizo kesi za wabunge watatu ndio zinatosha kumwita mwanasheria nguli?
Haya na wewe legal officer wa chuo kikuu cha Dar es salaam ulishawahi shinda kesi ngapi?
Kama kuwa mwanasheria nguli ni kushinda kesi tu basi hata mwakyembe, Dk Tulia, Masaju, Shivji siyo wanasheria nguli na Tundu lissu ameshawapiku maana ameshinda kesi nyingi zaidi yao! Hivi jaji warioba unaijua kesi yoyote aliyowahi kuiamua? Hivi aliwahishinda kesi yoyote? Tafakari upya nini kipimo hasa cha mwanasheria nguli na urudi upya mahali hapa!
Alikuwa bado kishimundu kijijini kwao hata RTD ilikuwa aipatikani sasa kaja mjini anasumbua watu!Usomi wa sheria haupimwi kwa kigezo cha kushinda kesi, bali kwa ufafanuzi na uchambuzi makini wa sheria, precedents, na ufafanuzi... Kuwa tu lawyer tayari ni learned brother.
Anyway wakati wa issue ya Bulyanhulu mtoa mada ulikuwa umezaliwa??
Petro, uwe unachagua watu wa kujibizana nao. mimi kuna watu kama Singidadodoma, faizafox, lizaboni I never discuss their postings because they are devoid of reasoning! Wameshaambiwa nini wasema hawana independent mind. Mtu anaambiwa na wakubwa zake kuwa 1+1=3 (katika normal mathematics) naye alibeba hivyo hivyo kama dodoki. Mtu kama huyo usijisumbue kujibizana naye maana you will never learn anything from himKwanza,kesi yake mwenyewe ya uchaguzi jimbo la Singida Mashariki.Pili,kesi ya uchaguzi ya Lema,Mahakama ya Rufani. Tatu,kesi ya Lwakatare. Najua umeiba comment ya mtu mahali na kuanzisha mada. Vijana wa CCM mko shallow hadi mnatia huruma
Kitambo sana, nakumbuka ile kesi ya mikoko na jamaa alivyokomaa wakati yule mzungu alipotaka kumilikishwa Rufiji DeltaUsomi wa sheria haupimwi kwa kigezo cha kushinda kesi, bali kwa ufafanuzi na uchambuzi makini wa sheria, precedents, na ufafanuzi... Kuwa tu lawyer tayari ni learned brother.
Anyway wakati wa issue ya Bulyanhulu mtoa mada ulikuwa umezaliwa??
Tehetehetehe kwahiyo mwakyembe hajawahi kushinda kesi mahakamani zaidi ya kuwa chair wa enquiry? Wewe ndiyo jipu kabisa nani amekwambia kufanya enquiry kama iliyofanya tume ya mwakyembe kunahitaji sheria? By the way alikiuka principles of natural justice!Mwakeyembe achana naye alitumia taaluma ya sheria kung`oa Lowasa KWENYE KESI YA lowasa bungeni
Dharau kwa bunge ni kwa Fisadi papa chenge kua mwenyekiti wake! Usifuate mkumbo, chambua mambo kwa kina na kama uwezo wako ndio umeishia hapo basi muombe mungu akunasue..Angekuwa mwanasheria nguli anayejali sheria asingekubali Lowasa awe mgombea uraisi kwenye chama chake sababu alitolewa kwa azimio la bunge ambamo hata yeye alikuwemo.Kumpa Lowasa ugombea ilikuwa ni dharau kwa bunge lililomwona Lowasa fisadi.