Tundu Lissu alisha wahi kuwa Wakili wa serikali katika shauri la City Water?

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,982
14,749
Tundu Lissu alisha wahi kuwa mmoja wa Mawakili wa Serikali katika shauri la la City Water kwenye Mahakama ya Kimataifa nchini Uholanzi ambayo inashughulikia usuluhishi wa mgogoro unaotokana na kukatishwa kwa Mkataba wa City Water

Kabla ya kukatishwa mkataba, City Water walisha kwisha sababisha hasara ya Dola 12.5 Milion, hivyo kuthibitisha onyo lililotolewa na Bank ya Dunia mapema juu ya uwezo duni wa kampuni hizo........
 
Back
Top Bottom