Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya chama cha Republican

Yap.. Ndio maana tunawaambia hicho anachofanya ni sawa na mbio za sakafuni coz tatizo analijua lkn hataki kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
una akili ndogo sana ! unajua kwanini Nyerere alienda UNO kudai uhuru wa Tanganyika ? Hawa wapuuzi mnaowaita DED mwisho wao ni hii ziara kabambe ya Lissu , huko ndiko litatokea tamko la tume huru ya uchaguzi , endelea kutega sikio .
 
Unajua hata shetani ana wafuasi..na kuna watu nyuma yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndio makosa makubwa kwa vyama kuwatenga watu kwa vyama vyao havina uelewa kabisa kwamba wakifundishwa kwa mazuri yao wanaweza kuwabadilisha mawazo kuwa wanachama wenye tija kwa vyama vyao.
Ni sawa na kukivunja kioo chako kwa kukuonesha taswira yako isiyokufurahisha.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi? Unaosimamiwa na ma DED? Ndio silaha mnayoitumaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unajua uchaguzi unasimamiwa na DED huko Ulaya unatafuta nini?Au hizo ziara zitawaondoa ma DED?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hebu acheni kukuza mambo nyie. Yaani hiyo ndio sekretariati ya Republican Party? Danganyaneni hapo hapo ufipa, hamnipati.
 
Sasa kama unajua uchaguzi unasimamiwa na DED huko Ulaya unatafuta nini?Au hizo ziara zitawaondoa ma DED?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
So you are full of that confidence! Mungu mkubwa mwazidi kujifunua. Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1014891
tundu Lissu akiwa kwenye ofisi za Chama Cha Republican- International Republican Institute.
Baada ya Lissu kufanya mdahalo chuo kikuu cha George Washington jana, leo amekutana na Sekretarieti ya chama cha Republican ambacho ndicho kinachoongoza seriiali ya Marekani.

Pia amefanya mazungumzo na viongozi wakuu wa shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Right Watch, ambapo amezungumzia matukio ya ukiukwa wa haki za binadamu nchini Tanzania kama vile kuuawa kikatili kwa Alphonce Mawazo, Aquilina Aquiline na makumi ya watu huko Kibiti.

Matukio ya watu kupotea kama Ben Saanane, Azory Gwanda etc, na matukio ya watu kutekwa na wengine kuuawa na kutupwa kwenye mifuko ya sandarusi ufukweni mwa bahari.

Pia amezungumzia sheria kandamizi zinazokiuka haki za binadamu kama vile sheria ya huduma ya vyombo vya habari ya mwaka 2017 ambayo inaingilia uhuru wa habari na sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015, ambayo inatumika vibaya kukamata wakosoaji wa serikali.

Kesho Lissu amealikwa kwa mazungumzo na Wizara ya mambo ya nje ya Marekani, ambapo atakutana na Naibu Waziri John J. Sullivan pamoja na maafisa wengine wa ngazi za juu wa wizara hiyo.

Pia amealikwa kwenye kituo cha utangazaji cha Sauti ya Amerika (VOA) kwenye kipindi cha Straight Talk Africa, kinachoongozwa na mtangazaji nguli Shaka Salli. #LissuOnInternationalArena #SurvivedToTellTheTale
Rais ni Tunndu Lissu, naona akiiwakilisha vyema nchi kimataifa. hatembezi bakuli anatembez akili na mipango tu.
 
Atulie auguze majeraha..hao waingereza na wamarekani hawakumpa hata sh kumi alipoumwa..akianza tena kuumwa watakaosumbuka ni serikali ya ujerumani..bora aende ujerumani akawashukuru wananchi na serikali kwa kutumia pesa za walipa kodi wa ujerumani kumtibia yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
duh kumbe sio bunge ndio lemegharamia huduma zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom