Baada ya sekeseke la jana hatimaye leo mapambano yanaendelea. Lissu amepita hapa kumpa salamu mzee wetu marehemu Ndesburo, mahali ambapo amelazwa makazi yake ya kudumu.
View attachment 1537815
Acha unafiki mzeeMimi nimeanza tu 'Kuvutiwa' sana na hawa 'Mabodigadi' wake, kwani wanaonekana wako 'Fiti' kabisa halafu pia wana 'Silaha' za Kisasa kabisa au?
Hawana lolote hao, wanakimbizwa kwa mawe tu na boya kama Sabaya.!Mimi nimeanza tu 'Kuvutiwa' sana na hawa 'Mabodigadi' wake, kwani wanaonekana wako 'Fiti' kabisa halafu pia wana 'Silaha' za Kisasa kabisa au?
yeah....pale ni bullet proof tupu - wote Lissu na mabodigadi wake.Mimi nimeanza tu 'Kuvutiwa' sana na hawa 'Mabodigadi' wake, kwani wanaonekana wako 'Fiti' kabisa halafu pia wana 'Silaha' za Kisasa kabisa au?
yeah....pale ni bullet proof tupu - wote Lissu na mabodigadi wake.
hakuna ku take another chance ya wasiojulikana.
Waambie waje nicheze nao cumittee/sparing kupima uwezo wao wa kumkabili adui.Mimi nimeanza tu 'Kuvutiwa' sana na hawa 'Mabodigadi' wake, kwani wanaonekana wako 'Fiti' kabisa halafu pia wana 'Silaha' za Kisasa kabisa au?
Njoo hapa mlango wa kutokea baharini huku nikutest kwanza kabla hujaenda hukoWaambie waje nicheze nao cumittee/sparing kupima uwezo wao wa kumkabili adui.
Waambie waje nicheze nao cumittee/sparing kupima uwezo wao wa kumkabili adui.
God bless this tough guy..Baada ya sekeseke la jana hatimaye leo mapambano yanaendelea. Lissu amepita hapa kumpa salamu mzee wetu marehemu Ndesburo, mahali ambapo amelazwa makazi yake ya kudumu.
View attachment 1537815
Mkuu Wewe 'huwaogopi' hao Mabodigadi wa Mheshimiwa Tundu Lissu? Nasikia wamepata Mafunzo yao Israeli, China na kumalizia kule Morogoro.
Waliepuka mtego wa kusingiziwa vuruguHawana lolote hao, wanakimbizwa kwa mawe tu na boya kama Sabaya.!
Shikamoo kaka!Waliepuka mtego wa kusingiziwa vurugu
"Mheshimiwa" tundu Lissu asiye na uheshimiwa!Mkuu Wewe 'huwaogopi' hao Mabodigadi wa Mheshimiwa Tundu Lissu? Nasikia wamepata Mafunzo yao Israeli, China na kumalizia kule Morogoro.
Mlipo wakimbiza mkapata nin au zoez la lissu alikuendelea au kaondolewa kuwania urais?Mkuu ungekuwepo eneo la tukio ndipo ungewajua Chadema. Kumbuka waliokimbia ni wao tena wakaenda kujificha nyuma ya mapolisi wenye silaha. Tuliwakimbiza mbaya