Tundu Lissu akitoa heshima kwenye kaburi la marehemu mzee Ndesamburo

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,874
Baada ya sekeseke la jana hatimaye leo mapambano yanaendelea. Lissu amepita hapa kumpa salamu mzee wetu marehemu Ndesburo, mahali ambapo amelazwa makazi yake ya kudumu.

iamlyenda_20200815_105526_0.jpg
 
Hajaenda kwenye kaburi la Nyerere ambaye alidiriki kumtusi mpaka muasisi wa chama mzee mtei akaingilia kati??
 
Mkuu ungekuwepo eneo la tukio ndipo ungewajua Chadema. Kumbuka waliokimbia ni wao tena wakaenda kujificha nyuma ya mapolisi wenye silaha. Tuliwakimbiza mbaya
Mlipo wakimbiza mkapata nin au zoez la lissu alikuendelea au kaondolewa kuwania urais?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom