Tundu Lissu akirudi atakuaa salama zaidi, hawezi kuguswa na lolote wala hatokuwa na kesi ya kujibu

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,105
2,000
Habari za weekend wanajukwaa wane!

Labda tu nijaribu kuwadaidia wakurupukaji hasa wanaCCM ambao kimsingi ndio wanaompinga na kuendelea kumkejeli Mh Tundu Lisdu.Wengine huenda mbali na kutoa vitisho zaidi.

Tulisoma kitabu kimoja cha Ibrahimu alipokua mdogo, kuna siku alienda kufyeka masanamu ya baba zake ambayo yalikua ndio Miungu yao na kisha kubakisha sanamu moja Mkubwa na kuliwekea shoka alilotumia kukatakata wengine begani,walipomuuliza kwani amefanya hivi?

Yeye akajibu kwa jeuri kua wamuulize huyo mmoja aliyemwacha maana ndio mungu wao . Wale wazee walikasurika na kukoka moto Mkubwa wa tanuru na kisha kimtumbukiza ndani, mtokeo yake waliona Ibrahim akitoka mzima kwenye tanu hilo. Kuna sauti ilisikika ikisema "MOTO KUA SALAMA NA BARIDI JUU YA IBRAHIM".

Wtesaji wa Lissu watambue kua kupona kwa lissu ni Mungu, wasijidanganye kwa nguvu za kidunia. Muujiza wa Lissu kupona ni nguvu ya kimungu.

Pia watambue yafuatayo kuhusu Lissu;

1.Utamshtaki kwa lipi mahakamani Mh Lissu? Kwa kosa lipi kisheria alilotenda?
Kusema kua anawashuku watu flani ni kosa? Kushuku ni kosa?
Kwa mahakamani kumshinda Lissu sio rahisi, wanaotegemea kua ataishia jela wanajidanganya. Lissu sio mhaini kwa sababu makosa ya uhaini kisheria na kikatiba yanajulikana na yapo wazi.

2.Chama chake kwa sasa kitajikita kumpatia ilinzi wa kutosha na kumpatia watu wazoefu,serikali pia itawajibika kumpatia ulinzi wa kutosha kutokana na yaliyompata. Pia ni haki yake kikatiba kua na ulinzi wake binafsi akiona inafaa. Kwa hali hiyo sio rahisi hivyo kufikika na watesaji wake kama kipindi cha awali ambacho hakua na ulinzi wowote.

Kwahiyo watu kama kina Musiba na genge lake wasidhani Lissu amekua ni mjinga kiasi hicho, yupo salama kabisa kurudi nyumbani. Vitisho vyao ni vya nyau kumtisha panya.
 
MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
5,267
2,000
Lissu sasa hivi hataki matatizo na mtu,anachohitaji ni watoto kwenda shule na yeye asilale nje basi
8400247_1453228423.0071.jpg
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026
2,000
Bwana yule mpenda ligi mpenda visasi bifu kwake ndo kiwandani upambana na watu kuliko maendeleo sidhani atamwacha Salama
 
MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
5,267
2,000
Sakata la Lissu Lumumba wakiacha lijadiliwe na watu wenye level of thinking kama yako ndio wanapokosea.
Mkuu ungewaambia wakupe majukumu mengine kama ya Bashite kwenda Zimbabwe na ATCL au mambo ya TOT

Sent using Jamii Forums mobile app
ufipa wanachelewa kuingia ikulu wanapowapa watu wa uwezo wako hoja nzito kuzileta mitandaoni
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,777
2,000
Tatizo vichaa huwa wanatumia nguvu nyiiiingi akili kiduuuuuchu, lissu hana cha kupoteza hata wakimuua ila atasaidia kutuamsha watanzania na kumkamata kichaa na rungu lake na kwenda kumuogesha kwa nguvu
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,481
2,000
Habari za weekend wanajukwaa wane!

Labda tu nijaribu kuwadaidia wakurupukaji hasa wanaCCM ambao kimsingi ndio wanaompinga na kuendelea kumkejeli Mh Tundu Lisdu.Wengine huenda mbali na kutoa vitisho zaidi.

Tulisoma kitabu kimoja cha Ibrahimu alipokua mdogo, kuna siku alienda kufyeka masanamu ya baba zake ambayo yalikua ndio Miungu yao na kisha kubakisha sanamu moja Mkubwa na kuliwekea shoka alilotumia kukatakata wengine begani,walipomuuliza kwani amefanya hivi? Yeye akajibu kwa jeuri kua wamuulize huyo mmoja aliyemwacha maana ndio mungu wao . Wale wazee walikasurika na kukoka moto Mkubwa wa tanuru na kisha kimtumbukiza ndani, mtokeo yake waliona Ibrahim akitoka mzima kwenye tanu hilo. Kuna sauti ilisikika ikisema "MOTO KUA SALAMA NA BARIDI JUU YA IBRAHIM". Wtesaji wa Lissu watambue kua kupona kwa lissu ni Mungu, wasijidanganye kwa nguvu za kidunia. Muujiza wa Lissu kupona ni nguvu ya kimungu.

Pia watambue yafuatayo kuhusu Lissu;

1.Utamshtaki kwa lipi mahakamani Mh Lissu? Kwa kosa lipi kisheria alilotenda?
Kusema kua anawashuku watu flani ni kosa? Kushuku ni kosa?
Kwa mahakamani kumshinda Lissu sio rahisi, wanaotegemea kua ataishia jela wanajidanganya. Lissu sio mhaini kwa sababu makosa ya uhaini kisheria na kikatiba yanajulikana na yapo wazi.

2.Chama chake kwa sasa kitajikita kumpatia ilinzi wa kutosha na kumpatia watu wazoefu,serikali pia itawajibika kumpatia ulinzi wa kutosha kutokana na yaliyompata. Pia ni haki yake kikatiba kua na ulinzi wake binafsi akiona inafaa. Kwa hali hiyo sio rahisi hivyo kufikika na watesaji wake kama kipindi cha awali ambacho hakua na ulinzi wowote.

Kwahiyo watu kama kina Musiba na genge lake wasidhani Lissu amekua ni mjinga kiasi hicho, yupo salama kabisa kurudi nyumbani. Vitisho vyao ni vya nyau kumtisha panya.
Akili yako ni ya kitoto snaa. I am sorry for saying this. Lakini inakera sana unapokuta mtu anaandika uzi mrefu bila kushirikisha mantiki inayosimama. Kama una akili pengine ndo ungejua urahisi Wa mtu aliyetaka kumdhuru. Akili yako wewe unafikiri Serikali sijui kwa Motive gani. Na kama ingekuwa Serikali hata angekuwa mweZini ingemwua tu. Lakini hiyo hoja ya Serikali haina Mashiko kwa kuwa hyu Lissu hana lolote alilofanya kuhitaji such drastic measures. Ni mpika kelele tu. Na unafiki Wa Tz basi wanapenda kweli wapiga kelele badala ya watendaji. Then wakiwa ndani wanaanza kusema ohhh ohhhh. Someni historia yenu ya miaka hii 57 ya uhuru. Watanzania adui yenu ni UVIVU NA KUPENDA GAIN WITHOUT PAIN. Kama mnataka kiongozi wa kweli tujue lazima tuumie. Hakuna mtu anayeweza kuleta Maendeleo kwa miaka 3-5 kwa Nchi ambayo ni maskini mana kila akitaka kwenda mbele , ya nyuma yanakuja kwa kasi. Na Watu badala ya kupiga kazi mnakazana na Majungu na maneno. Mmekuwa Hamna Orientation kabisa . Acheni uvivu Wtz no pain no gain
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom