Tundu Lissu akiri Tanzania kuibiwa kweli kweli ktk sekta ya Madini na wawekezaji ktk migodi nchini

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Tundu Lissu akitoa maoni yake kuhusu Tume ya Rais baada ya kuwasilisha report ya mchanga wa dhahabu alikiri kwa kinywa chake kuwa ni kweli Tanzania tunapigwa kweli kweli Katika sekta ya madini kufuatia mikataba iliyopo kati ya Serikali na wawekezaji.

Na ili Tanzania iwe salama ni lazima ijitoe MIGI ili sakata la kukwepa kushtakiwa ktk mahakama za kimataifa ambako Tanzania ni mwanachama wa MIGI.
 
Sisi kama wanachama wa ccm tutamshauri Rais tusijitoe MIG tutafute kick kwa kufukuza mawaziri
 
Ni ushauri mzuri
Kama ukifatwa utazaa matunda
Tundu Lissu ameongea mengi yenye ukweli lakini wengi tumekimbilia kuchukua Yale ambayo ni against na Serikali aliyoyaongea ndiyo tunayapamba na kuyakuza sana as if Tundu Lissu aonekane ni mbaya sana au ndiyo mkosoaji sana wa Serikali au vinginevyo
 
Back
Top Bottom