Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Baada ya mahojiano ya mara ya kwanza kumwendea mrama na kuacha maswali mengi imebainika kuwa Tundu Lissu angerejea mwezi Juni mwaka 2019, ili kujadili kwa kirefu sekta ya madini na sheria ya madini ya Tanzania ambayo Tundu Lissu alisema yeye ndiye anajua na alipigania miaka mingi na zaidi akamhakikishia Sackur kuwa serikali ya Tanzania haina chake kwani Barrick watashinda.
Kama kawaida,Sackur alivutiwa na kauli za Lissu zilozojaa ramli na majigambo dhidi ya Tanzania,hivyo alijikita kupata taarifa na maendeleo ya sakata hilo kwenye soko la hisa London na Canada.Hivyo basi,Tundu Lissu alikumbushwa kuhusu mwaliko kwenye mjadala huo wa "Hard Talk" uliopangwa kufanyika mnamo tarehe 1.6.2019, licha ya kuwa atakuwa Uingereza kakataa kushiriki huku akituhumu kuwa mjadala huo unatumika "kumhujumu".
Kadri wakati unavyokwenda mambo yanakuwa dhahiri.