Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

Kama kuna kitu serikali inapaswa kuachana nacho ni kuwakamata na hata kuachana na kujibu hoja za wanasiasa wa upinzani katika majukwaa naamini hata konya hiwa ni jibu maana kumkamata ama kumjibu alichosema ni kutoa mwendelezo wa umaarufu

Sent from my GT-I9190 using JamiiForums mobile app
 
Hili halinishangazi kutokana na maelezo ya RPC wa Dodoma.

Kama sikosei, RPC alisema sijapata maelekezo ya kukumata lakini hakusema Jeshi la Polisi(Jeshi la Polisi Tanzania) halina mpango wa kukumata.Kauli hii mimi niliichukua kwa tahadhri kubwa sana.

Kingine ni kuwa bila shaka walishajua leo atasafiri hivyo waliona haina haja ya kumtoa Dodoma kumleta Dar kwa gharama za serikali wakati atakuja Dar mwenyewe.

No wonder jana jioni Lissu ali-tweet:

"Life of hunted Man!".



Ni wazi nae alijua anawindwa.

All in all,ujumbe wa Lissu kwa watanzania haufutika kwa kumtia ndani bali ndio utazidi kushika kasi na kusambaa ndani na nje ya nchi.

Lissu wanamjenga na umaarufu wake sasa unavuka mipaka ya nchi hii.

Jembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili halinishangazi kutokana na maelezo ya RPC wa Dodoma.

Kama sikosei, RPC alisema sijapata maelekezo ya kukumata lakini hakusema Jeshi la Polisi(Jeshi la Polisi Tanzania) halina mpango wa kukumata.Kauli hii mimi niliichukua kwa tahadhri kubwa sana.

Kingine ni kuwa bila shaka walishajua leo atasafiri hivyo waliona haina haja ya kumtoa Dodoma kumleta Dar kwa gharama za serikali wakati atakuja Dar mwenyewe.

No wonder jana jioni Lissu ali-tweet:

"Life of hunted Man!".



Ni wazi nae alijua anawindwa.

All in all,ujumbe wa Lissu kwa watanzania haufutika kwa kumtia ndani bali ndio utazidi kushika kasi na kusambaa ndani na nje ya nchi.

Lissu wanamjenga na umaarufu wake sasa unavuka mipaka ya nchi hii.

Jembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho tu yupo nje na majukumu yake ukijua sheria raha sana
Lazima alale, muulize yule wa Arusha. Mpaka sasa huwa yupo kimya. Na huyu mnafiki lazima akomeshwe kabisa ili liwe fundisho. Na mjue he will never gain anything kwa sababu ajenda zake kwa sasa zinajulikana anatumika na wazungu.
 
Watu badala ya kusimamia kwenye ukweli tunabaki na ushabiki wa vyama TL hata leo akihamia CCM watu tayari wanabadili mtazamo . Kuja kupata maendeleo shirikishi kama Taifa ni ngumu sana kwa mwendo huu wa kishabiki . Hakuna rafiki wala adui wa kudumu kwenye siasa . Tubakishe akiba ya maneno yetu

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Ninapenda tu mumfikishie huu ujumbe huyo mbunge machachari... Unajua unapozidisha uana harakati, hata watu wako wa karibu wataogopa kufanya kazi na wewe.

Tundu Lissu alikuwa na nafasi nzuri ndani ya chama cha CHADEMA na hata nje ya chama. Serikali pia ingeweza kumtumia katika maeneo mbali mbali iwapo angekuwa mtu cooperative!
Ila sasa kutokana na yeye kuzidisha ukaidi, jeuri, vijembe na kejeli, hata watu wa chama chake wanampotezea kimtindo.
Tundu Lissu alikuwa na kila sifa ya kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, ila kutokana na ujeuri wake, Mbowe akaona ni ten times better amlete Mashinji ambaye hafahamiki na wala hana mvuto wa kisiasa na kumpa hicho cheo badala ya Lissu.
Nakushauri kaka yangu ulegeze mwendo. Hata siye madereva tunapokuwa kwenye usukani, sio kila sehemu unakanyaga mpaka 180. Kuna sehemu nyingine kuna matuta, vishimo au kona kali hivyo unapunguza speed mpaka hata 20... Hivyo ndivyo safari na maisha ya mwanadamu yanatakiwa yawe.
Watch out!
 
Tunaomba akitoka huko awe mkimya kama lema. Tz ya sasa hatutaki vigeugeu na vichonganishi. Tunataka kujenga inchi.
 
Ila polisi watu wazuri maana hakuzuia haki ya kuwasiliana na wenziwe na hata yule wakili wake aliyeshupaa fatma karume alimpa taarifa na akaenda central police.

Nadhani huyu "ana makaka" zake mle cell ambao hupenda kuwaona wapeane "siri".Alishatuambia wao wako tu mle ndani hawapelekwi hata mahakamani maana mwenyewe naye mashallah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina lisu walikua wanalalamika kua kikwete ni dhaifu wakimaanisha wanata strongman in the highest office. Ukiomba Mungu anakupa. Kwa maoni yangu watanzania tulikosa fursa ya kutengeneza/kuunda strong institutions kwa sababu ya upuuzi wa hawa jamaa kwa kuziba midomo yao kwa vitamba pale bungeni. Now they have to pay back. JPM apana mchezomchezo. Kamua kwa kwenda mbele. You have our 100 percent support.
 
Back
Top Bottom