Tundu Lissu aiogopa nchi yake ,aona heri aeleze aibu zake kwa majirani (Anajifedhehesha)

Amejiaibisha yeye sio Nchi/Taifa lake,.Hajitambui kwani hata madhaifu yake kwa mkewe atakwenda kuyaeleza kwa majirani ili asaidiwe.Muambieni nyie wapiga bede wake msiojielewa kama yeye eti mnashangilia anayoyasema badala ya kujisikitikia,au ndio Urais unatafutwa kwa njia hiyo?

Mnafikiri kujisema mapungufu yenu nje mtabadilishwa uraia?Huyu mtu kashambuliwa nchini mwake,akaamua kwenda nje kutibiwa ni vizuri,lakini je?kupita kila mahali kujiieleza anahisi ni sifa au kujifedhehesha?Apone aanze rasmi kampeni zake za Urais salama hakuna anayemkataza.

Mtu gani anautaka urais halafu anaogopa Taifa lake na kujiaibisha nje,Urais huo ni kuwaongoza watu au wanyama au vipi?

Azidi tu kujieleza,Urais ataupata kwa kujiaibisha na kutoa madhaifu yake nje ya Taifa lake
1. UJINGA sio sifa.
2. Sio lazima kila mtu ajue wewe ni MPUMBAVU kiasi gani.
 
Mkuu mbn hujainisha ni vip amejiaibisha na kuaibisha nchi yake!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amejiaibisha yeye sio Nchi/Taifa lake,.Hajitambui kwani hata madhaifu yake kwa mkewe atakwenda kuyaeleza kwa majirani ili asaidiwe.Muambieni nyie wapiga bede wake msiojielewa kama yeye eti mnashangilia anayoyasema badala ya kujisikitikia,au ndio Urais unatafutwa kwa njia hiyo?

Mnafikiri kujisema mapungufu yenu nje mtabadilishwa uraia?Huyu mtu kashambuliwa nchini mwake,akaamua kwenda nje kutibiwa ni vizuri,lakini je?kupita kila mahali kujiieleza anahisi ni sifa au kujifedhehesha?Apone aanze rasmi kampeni zake za Urais salama hakuna anayemkataza.

Mtu gani anautaka urais halafu anaogopa Taifa lake na kujiaibisha nje,Urais huo ni kuwaongoza watu au wanyama au vipi?

Azidi tu kujieleza,Urais ataupata kwa kujiaibisha na kutoa madhaifu yake nje ya Taifa lake
Ogopa sana ukiona nchi mtu anapigwa risasi na "watu wasiojulikana" watu wanashabikia na kushangilia. Ogopa sana Mtu mwenye wadhifa mkubwa anatishiwa bastola lakini bado waliomtishia hadharani "hawajulikani" wala hawachukuliwi hatua, Ogopa kabisa mahala ambapo mtu anatishia askari na kuwazuia kufanya kazi yao anateuliwa wadhifa fulani, Ogopa sana.... Ogopa kabisa....
Mwacheni TL atoe machungu yake maana risasi zile alizopigwa na "hatua zile zilizochukuliwa juu ya watesi wake..." ana kila haki kama mmeshindwa kujistiri uchi wenu acha awaanike labda mtajirudi mjue mko uchi.
 
Waliokwenda kumpiga Risasi mbona wanajulikana ni watu tisa wanne hawajulikani lakini watano yaani Bashite, Le mutuz, jerry muro, cyprian Musiba na Heri kisanduku ambaye ndiye alibeba bunduki kubwa na kumimina Risasi akisaidiwa na cyprian Musiba aliyekuwa na bastora, kwa sasa wanajulikana kama hukuwahi kusikia
 
Back
Top Bottom