Tundu Lissu aiogopa nchi yake ,aona heri aeleze aibu zake kwa majirani (Anajifedhehesha)

BimaYaAfya

Member
Nov 10, 2018
69
125
Amejiaibisha yeye sio Nchi/Taifa lake,.Hajitambui kwani hata madhaifu yake kwa mkewe atakwenda kuyaeleza kwa majirani ili asaidiwe.Muambieni nyie wapiga bede wake msiojielewa kama yeye eti mnashangilia anayoyasema badala ya kujisikitikia,au ndio Urais unatafutwa kwa njia hiyo?

Mnafikiri kujisema mapungufu yenu nje mtabadilishwa uraia?Huyu mtu kashambuliwa nchini mwake,akaamua kwenda nje kutibiwa ni vizuri,lakini je?kupita kila mahali kujiieleza anahisi ni sifa au kujifedhehesha?Apone aanze rasmi kampeni zake za Urais salama hakuna anayemkataza.

Mtu gani anautaka urais halafu anaogopa Taifa lake na kujiaibisha nje,Urais huo ni kuwaongoza watu au wanyama au vipi?

Azidi tu kujieleza,Urais ataupata kwa kujiaibisha na kutoa madhaifu yake nje ya Taifa lake
 
jabulani

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
4,274
2,000
Jiwe ndo anamwogopa Lissu katika mipango yake hakutaka hata maiti ya LIssu ifike Dar wala kuagwa bungeni.
Lissu ni mpigania uhuru wa watanzania, anaratibu mipango ya ukombozi akiwa katika nchi salama kwake.
Mipango ilikamilika atakuja kushiriki uchaguzi huru na wa haki kama walivyofanya ndugu zetu wa kusini mwa Africa tuliowahifadhi enzi hizo.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,861
2,000
Amejiaibisha yeye sio Nchi/Taifa lake,.Hajitambui kwani hata madhaifu yake kwa mkewe atakwenda kuyaeleza kwa majirani ili asaidiwe.Muambieni nyie wapiga bede wake msiojielewa kama yeye eti mnashangilia anayoyasema badala ya kujisikitikia,au ndio Urais unatafutwa kwa njia hiyo?

Mnafikiri kujisema mapungufu yenu nje mtabadilishwa uraia?Huyu mtu kashambuliwa nchini mwake,akaamua kwenda nje kutibiwa ni vizuri,lakini je?kupita kila mahali kujiieleza anahisi ni sifa au kujifedhehesha?Apone aanze rasmi kampeni zake za Urais salama hakuna anayemkataza.

Mtu gani anautaka urais halafu anaogopa Taifa lake na kujiaibisha nje,Urais huo ni kuwaongoza watu au wanyama au vipi?

Azidi tu kujieleza,Urais ataupata kwa kujiaibisha na kutoa madhaifu yake nje ya Taifa lake
ID yako mpaka umeikumbuka ili uje kiupya mbwiga wewe! njoo na ya kila siku maana unaandika haya haya na watu waqna kugnore kwa upupu wako kila siku. Katafute lunch kasha kalale zako labda utakuwa akili
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,594
2,000
Amejiaibisha yeye sio Nchi/Taifa lake,.Hajitambui kwani hata madhaifu yake kwa mkewe atakwenda kuyaeleza kwa majirani ili asaidiwe.Muambieni nyie wapiga bede wake msiojielewa kama yeye eti mnashangilia anayoyasema badala ya kujisikitikia,au ndio Urais unatafutwa kwa njia hiyo?

Mnafikiri kujisema mapungufu yenu nje mtabadilishwa uraia?Huyu mtu kashambuliwa nchini mwake,akaamua kwenda nje kutibiwa ni vizuri,lakini je?kupita kila mahali kujiieleza anahisi ni sifa au kujifedhehesha?Apone aanze rasmi kampeni zake za Urais salama hakuna anayemkataza.

Mtu gani anautaka urais halafu anaogopa Taifa lake na kujiaibisha nje,Urais huo ni kuwaongoza watu au wanyama au vipi?

Azidi tu kujieleza,Urais ataupata kwa kujiaibisha na kutoa madhaifu yake nje ya Taifa lake
Yeye unayedai ' anaogopa ' na Wewe pamoja na ' Genge ' lako la ' Sycophants ' na ' Sadists ' mnayemhofia tokea aanze Ziara zake huko Ulaya na Marekani nani ndiyo ' Mwoga / Nyali ' zaidi kama tukiiweka hii Hoja ' yako katika ' Mizania ' ya Kifikra?
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,633
2,000
Amejiaibisha yeye sio Nchi/Taifa lake,.Hajitambui kwani hata madhaifu yake kwa mkewe atakwenda kuyaeleza kwa majirani ili asaidiwe.Muambieni nyie wapiga bede wake msiojielewa kama yeye eti mnashangilia anayoyasema badala ya kujisikitikia,au ndio Urais unatafutwa kwa njia hiyo?

Mnafikiri kujisema mapungufu yenu nje mtabadilishwa uraia?Huyu mtu kashambuliwa nchini mwake,akaamua kwenda nje kutibiwa ni vizuri,lakini je?kupita kila mahali kujiieleza anahisi ni sifa au kujifedhehesha?Apone aanze rasmi kampeni zake za Urais salama hakuna anayemkataza.

Mtu gani anautaka urais halafu anaogopa Taifa lake na kujiaibisha nje,Urais huo ni kuwaongoza watu au wanyama au vipi?

Azidi tu kujieleza,Urais ataupata kwa kujiaibisha na kutoa madhaifu yake nje ya Taifa lake
Acha ungese wako inaelelekea wewe ni bonge la mshamba na mbumbumbu kilaza wa kutupwa kwani Tanzania kuna Siri gani wazungu hawajui? 40% ya Bajeti mnapewa na wazungu na wana CIA na FBI na vyombo vingi wanaijua Tanzania kuliko wewe zuzu unayeshinda gheto kwa cyprian Musiba akikukaririsha ujinga wake, Tundu Lisu hajiaibishi na wala halichafui Taifa kwani bila wewe na Bashite na kikundi chake kwenda Dodoma kumpiga Risasi leo hii asingekuwa huko Marekani na mjadala huu usingekuwepo mitandaoni na wewe usingekuwa umeleta ujinga wako hapa jukwaani, wanaojiaibisha na hao akina Bashite waliopanga njama za kumuua
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,633
2,000
Yeye unayedaia ' anaogopa ' na Wewe pamoja na ' Genge ' lako la ' Sycophants ' na ' Sadists ' mnayemhofia tokea aanze Ziara zake huko Ulaya na Marekani nani ndiyo ' Mwoga / Nyali ' zaidi kama tukiiweka hii Hoja ' yako katika ' Mizania ' ya Kifikra?
CCM ndiyo waoga kutwa wanapanga kumuua na sasa Mwenyekiti wa TFF kaanda ndugu zake toka Somalia waje kumfanyia shambulio la pili
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,633
2,000
acha ungese wewe usiyejitambua umekosa hoja kwa ufala wako unabakia kutukana.leta hoja hapa acha ujinga
Hoja ipi unataka hoja zote zipo lakini kwa kuwa wewe ulishajitoa fahamu umekuwa kipofu huwezi kuona hoja, Tambua kuwa FBI waliopo Tanzania walishachunguza kila kitu taarifa zote wanazo na hakuna cha Tundu Lisu kujiaibisha zaidi ya nyie mbweha wenye roho mbaya mliokwenda Dodoma kumpiga Risasi.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,633
2,000
Ujinga wenu ndio unaowafanya mkimbie hata familia.acha ushamba wewe mropokaji usiyejielewa.leta hoja acha matusi hata kwenye kanga yapo
Ujue wewe ni juha mbumbumbu unawezaje kujua mropokaji wakati wewe mwenyewe hajielewi kichwani huna Ubongo umejaza kamasi na Moshi wa Bangi
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,633
2,000
povu linakutokaaa heee.pole sana kwa kuumia.hahahahaaaaaa.matusi yote hayo nilitukanwa nikiwa tumboni naona wewe umeona dili kuyasikia leo
Kwanza wewe ni kama tunakupa sifa usizostahili kubishana na kijitu kinachoshinda kimepakatwa kwa cyprian Musiba ni aibu kubwa maana hapo wote mmekuta wavuta Bangi.
 
BimaYaAfya

Member
Nov 10, 2018
69
125
Hoja ipi unataka hoja zote zipo lakini kwa kuwa wewe ulishajitoa fahamu umekuwa kipofu huwezi kuona hoja, Tambua kuwa FBI waliopo Tanzania walishachunguza kila kitu taarifa zote wanazo na hakuna cha Tundu Lisu kujiaibisha zaidi ya nyie mbweha wenye roho mbaya mliokwenda Dodoma kumpiga Risasi.
Wewe mbweha mkubwa leo ndio FBI unaifahamu nini mbona inaitaja sana.hv unamfaham hata mmoja au unajua kuandika tu.acha ufala
 
BimaYaAfya

Member
Nov 10, 2018
69
125
Ujue wewe ni juha mbumbumbu unawezaje kujua mropokaji wakati wewe mwenyewe hajielewi kichwani huna Ubongo umejaza kamasi na Moshi wa Bangi
Juha mkubwa umekosa kweli hoja umbumbu unakusumbua,ungekuwa hujajaza makamasi na bangi nyingi ungetoa hoja wewe bwege
 
lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
965
1,000
Amejiaibisha yeye sio Nchi/Taifa lake,.Hajitambui kwani hata madhaifu yake kwa mkewe atakwenda kuyaeleza kwa majirani ili asaidiwe.Muambieni nyie wapiga bede wake msiojielewa kama yeye eti mnashangilia anayoyasema badala ya kujisikitikia,au ndio Urais unatafutwa kwa njia hiyo?

Mnafikiri kujisema mapungufu yenu nje mtabadilishwa uraia?Huyu mtu kashambuliwa nchini mwake,akaamua kwenda nje kutibiwa ni vizuri,lakini je?kupita kila mahali kujiieleza anahisi ni sifa au kujifedhehesha?Apone aanze rasmi kampeni zake za Urais salama hakuna anayemkataza.

Mtu gani anautaka urais halafu anaogopa Taifa lake na kujiaibisha nje,Urais huo ni kuwaongoza watu au wanyama au vipi?

Azidi tu kujieleza,Urais ataupata kwa kujiaibisha na kutoa madhaifu yake nje ya Taifa lake
Mnateseka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Los técnicos

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
2,660

Pole ndugu yetu.
Vumilia kidogo yataisha.
Ila na nyie ndiyo chanzo cha yote matatizo ikiwa mnaujua ukweli kwa nini muufiche

Sent using Jamii Forums mobile app
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,633
2,000
Na mshahara wake fyeka, na hakuna ela kutoka nje kuingia nazo, akizingua zaidi tunamfutia uanachama wa cdm
Hizo mbinu zako za kifala fala haziwezi kumzuia Tundu Lisu kuacha kuongea Ukweli wa ulichokwenda Dodoma kumfanyia, acheni Tundu Lisu aanike udikteta wenu watu wawajue unyama wenu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom