DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

Lisu alivyojaa woga hata hawezi kushukuru

USSR

..DPP amewalenga wahariri wa gazeti la Mawio waliokuwa wakishtakiwa pamoja na Lissu.

..Lissu ana kesi nyingine ambazo anashtakiwa peke yake, na hizo bado hazijafutwa, na uwezekano mkubwa hazitafutwa.
 
Ni jambo jema!

Tundu Lisu na familia yake warudi nyumbani sasa!
Hii kitu noma mmoja kashikwa haja kubwa mwingine kaachia kojo
20210923_073952.jpeg
 
Back
Top Bottom