Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

Ni jambo linaloonesha ni namna gani aliyekuwa Mbunge huko Singida Mashariki ndugu Lissu alishindwa kuwathamini wananchi wa huko kwa miaka aliyokuwa Mbunge na hata baada ya kuvuliwa ubunge.

Mbaya zaidi Lissu aliona Dar ndio sehemu muhimu kwake na hata ukifuatilia speech zake huwezi kumsikia akiiongelea lililokuwa jimbo lake.

Mbaya zaidi Lissu hana jambo lolote analoweza kulielezea kama mafanikio aliyopeleka kwa wananchi wa hali ya chini jimboni Singida Mashariki
 
Huyu mtoa mada nae ni mTanzania tena ukute ni kiongozi katika serikali hii inayotegemewa kuwatumikia na kuwaletea watu wake maendeleo, poleni sana waTanzania wenzangu

Ukimuuliza kwanini Magufuli amekua mbunge wa Chato kwa zaidi ya miaka 20 lakini bado haikua ata na josho la kuogeshea mifugo? waTanzania tunapenda siasa uchwara sana
 
Huyu mtoa mada nae ni mTanzania tena ukute ni kiongozi katika serikali hii inayotegemewa kuwatumikia na kuwaletea watu wake maendeleo; poleni sana waTanzania wenzangu.

Ukimuuliza kwanini Magufuli amekua mbunge wa Chato kwa zaidi ya miaka 20 lakini bado haikua ata na josho la kuogeshea mifugo? waTanzania tunapenda siasa uchwara sana.
Chato kulikuwa na Taa za barabarani kabla ya Singida.by the way kwa miaka 20 hata kama hakuigusa chato lakini aliibadilisha Tanzania.
sasa nitajie huyo mlalamikaji wenu kaifanyia nini Singida Mashariki ??
 
Ni jambo linaloonesha ni namna gani aliyekuwa Mbunge huko Singida Mashariki ndugu Lissu alishindwa kuwathamini wananchi wa huko kwa miaka aliyokuwa Mbunge na hata baada ya kuvuliwa ubunge.

Mbaya zaidi Lissu aliona Dar ndio sehemu muhimu kwake na hata ukifuatilia speech zake huwezi kumsikia akiiongelea lililokuwa jimbo lake.

Mbaya zaidi Lissu hana jambo lolote analoweza kulielezea kama mafanikio aliyopeleka kwa wananchi wa hali ya chini jimboni Singida Mashariki
Jimbo lake lipi?

Si mlimnyanganya ninyi?
 
Ndiyo maana unaitwa "Jingalao" . Baada ya kuchukuwa fomu Dodoma, siku ya pili alienda wapi ?!. Na alisalinao , kabla ya kuanza kutafuta udhamini kanda ya ziwa.

Au ulitaka aende Lumumba ?!
Nimehoji kuanzia alipokuja Tanzania.
Nimehoji speech zake.
Nimehoji kabla ya kuondoka kwake.
Usijibu kisanii jombii jibu hoja....
yaani anaahidi mkate nyumba za jirani wakati home kuna uporo wa ugali??
 
Ni jambo linaloonesha ni namna gani aliyekuwa Mbunge huko Singida Mashariki ndugu Lissu alishindwa kuwathamini wananchi wa huko kwa miaka aliyokuwa Mbunge na hata baada ya kuvuliwa ubunge.

Mbaya zaidi Lissu aliona Dar ndio sehemu muhimu kwake na hata ukifuatilia speech zake huwezi kumsikia akiiongelea lililokuwa jimbo lake.

Mbaya zaidi Lissu hana jambo lolote analoweza kulielezea kama mafanikio aliyopeleka kwa wananchi wa hali ya chini jimboni Singida Mashariki
Wewe kweli jinga lao, Tunafahamu alikwenda wewe umelala wapi? Usiongee kitu usichokuwa na uhakika nacho kama huyo Polepole wako...Anayeongea upuuzi mtupu.
 
Sasa Wanini huyo
mwache Amalizie Kampeni zake Kitakacho mtokea atabakia midomo wazi
ana Jazwa upepo na Vibendera wa Mitandaoni wenye Acc Kumi kumi
 
Chato kulikuwa na Taa za barabarani kabla ya Singida.by the way kwa miaka 20 hata kama hakuigusa chato lakini aliibadilisha Tanzania.
sasa nitajie huyo mlalamikaji wenu kaifanyia nini Singida Mashariki ??
Alibadilisha Tanzania alafu hakuigusa Chato...Chato ni wapi sasa; ujianga ndo imekutawala.
 
Ni jambo linaloonesha ni namna gani aliyekuwa Mbunge huko Singida Mashariki ndugu Lissu alishindwa kuwathamini wananchi wa huko kwa miaka aliyokuwa Mbunge na hata baada ya kuvuliwa ubunge.

Mbaya zaidi Lissu aliona Dar ndio sehemu muhimu kwake na hata ukifuatilia speech zake huwezi kumsikia akiiongelea lililokuwa jimbo lake.

Mbaya zaidi Lissu hana jambo lolote analoweza kulielezea kama mafanikio aliyopeleka kwa wananchi wa hali ya chini jimboni Singida Mashariki
Tatizo lako ni kuangalia TBC na Chanel ten muda wote sasa utajuaje kama aliwahi kufika Ikungi?
Hizo tv stations unazoangalia zenyewe zinakaa kichuki chuki na kichawi chawii ukitaka kutoka kifungoni achana nazo kwanza.
 
Alibadilisha Tanzania alafu hakuigusa Chato...Chato ni wapi sasa; ujianga ndo imekutawala.
Umesahau kuwa kuna thread humu mkilalamika alivyoipendelea Chato akiwa waziri?Tatizo lenu mmenunuliwa simu halafu hamjapewa uwezo wa hoja
 
Ni jambo linaloonesha ni namna gani aliyekuwa Mbunge huko Singida Mashariki ndugu Lissu alishindwa kuwathamini wananchi wa huko kwa miaka aliyokuwa Mbunge na hata baada ya kuvuliwa ubunge.

Mbaya zaidi Lissu aliona Dar ndio sehemu muhimu kwake na hata ukifuatilia speech zake huwezi kumsikia akiiongelea lililokuwa jimbo lake.

Mbaya zaidi Lissu hana jambo lolote analoweza kulielezea kama mafanikio aliyopeleka kwa wananchi wa hali ya chini jimboni Singida Mashariki
Inaonyesha hujui hata unacho kiandika.
 
Back
Top Bottom