Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

Safi sana, Mungu ni wakushukuriwa kwa kweli. Maajabu aliyoyafanya kwa Lissu ni makuu sana
 
Nawambia hivi Hadi Uchaguzi uje kuisha tutaona mengi sana.

Ni Tanzania pekee ambapo Muslim anashiriki Ibada ya misa.
 
Mwanahabari Huru,

Kwa kumtukuza Mungu wetu,
hebu tusome zaburi ya 23:4

Nayo yasema hivi
"Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya,
Kwa maana wewe upo pamoja nami.
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji" mwisho wa kunukuu
 
Safi Sana, na Kwa kuwa Hadi leo hawajapatikana! Swali langu Kwa wapingaji wa Magufuli, eti ni Kwa nini huwa anapewa madhabahu kuongelea mambo ya wananchi, sasa hapa mtasema nini tena nyinyi watu!!!
 
Mh Lissu amefanya misa ya kutoa shukrani kwa mungu kwa kumponya na mauti akiwa nyumbani kwao Ikungi, Singida.

Azungumza mengi na kuwaliza mamia ya watu waliokuwepo hapo juu ya mateso aliyoyapitia kama binadamu.

"Naahidi sitampitisha mtu yeyote kwenye maumivu yale niliyoyapata hata kama atakuwa amenikosea kwa kiwango gani."

Ni kauli ya Tundu Lissu leo 10.08.2020 baada ya kushiriki Misa ya shukrani, Kanisani Ikungi, Singida.

Kweli Watanzania tumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kutuletea huyu kiumbe maana atatuvusha na kutupeleka nchi ya asali na maziwa.

Mungu ni mwema,wakati wote
 
Mkuu hayo ndiyo mawe waliyo bakia nayo wana lumumba dhidi ya upinzani.

Mwanzo walikuwa wanajidanganya kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania maana anaogopa na tayari kesha pewa hadhi ya ukimbizi.
Majinga sana.Hivi kumuita mtu msaliti ni kwamba mlikuwa mna mawazo yanayoelekeana au the same missions to accomplish.Sasa lini Lissu aliwahi kuwa pamoja na vibaka wa CCM?Unamuitaje mtu kuwa amekusaliti wakati hamjawahi kufanana kimsimamo,kichama,kimuono hata maisha tu?The bunch of "green flies" is a catastrophe to the nation itself!😂😂😂😂😂
 
Mh Lissu amefanya misa ya kutoa shukrani kwa mungu kwa kumponya na mauti akiwa nyumbani kwao Ikungi, Singida.

Azungumza mengi na kuwaliza mamia ya watu waliokuwepo hapo juu ya mateso aliyoyapitia kama binadamu.

"Naahidi sitampitisha mtu yeyote kwenye maumivu yale niliyoyapata hata kama atakuwa amenikosea kwa kiwango gani."

Ni kauli ya Tundu Lissu leo 10.08.2020 baada ya kushiriki Misa ya shukrani, Kanisani Ikungi, Singida.

Kweli Watanzania tumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kutuletea huyu kiumbe maana atatuvusha na kutupeleka nchi ya asali na maziwa.

Mungu wetu ni Mwema sana
 
Back
Top Bottom