Uchaguzi 2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,831
18,819
Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia

kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa mashambulizi anayoyafanya, Chadema na yeye mwenyewe wangejizuia kwanza wafanye kila kitu kwa upole kisha kampeni zikikolea mashambulizi ndio yakolee kiasi

 
Hii ni leo tarehe 8/8/2020 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa ugombea Urais wa JMT...

Ni hotuba iliyojaa ukweli lakini nyuma yake ikimjaza upepo mpinzani wake mkuu Bwana Magufuli. Ni hotuba inayoamusha hisia za maudhi. Lakini afanyeje sasa maana hayo ndiyo katenda kweli...?

Huu ni mwanzo tu...

Kampeni za mwaka huu ni za piga nikupige. Ni za kufa na kupona. Lakini mwisho wa siku lazima opponent mmoja apigwe kwa KO...

Nimemtazama na kumsikiliza hadi mwisho huyu ndugu. Nikagundua haya yafuatayo;

å Lissu anajua kucheza na kulitawala jukwaa la kampeni....

å Anajua kuisoma hadhira yake na kuipa jambo analotaka liwaingie kwa lugha rahisi sana kueleweka....

å Lissu anajua kumuudhi mshindani wake....

å Lissu anajua kujitetea mwenyewe....

å Lissu ana ufahamu mkubwa sana wa mambo mengi ya kimataifa na ya ndani ya nchi....

MAGUFULI wa CCM ni tatizo. Hafai na hana hata hadhi wala sifa ya kuitwa "Dr........."

Huyu hafai kuwa Rais wa nchi hii tena. Uwezo wake mdogo sana....

Tutaambiwa Ghadaffi alikuwa Rais wa Kuwait...
 
Mkuu Tundu Lissu I think you missed the point,mkulima wa Tanzania si masikini wa kutupwa kwa sababu serikali haijamuangalia ,hapana .Serikali ya ccm Ina sera ya kuwa fanya wakulima wetu waendelee kuwa masikini ili iendelee kuwatawala vizuri
 
Haikua hotuba bali ni TUHUMA na mtuhumiwa yoyote hana jinai hadi atakapo patikana na kosa ..
Nasubiri wakati atakaposema ataifanyiavnini Tanzania ambacho Jpm hawezi kufanya ili sisi wapiga kura tuamue..

But ni kwambie ukweli kama hotuba zake ndio zitakua hivi hatapata asilimia 10 ya kura zote.
 
Back
Top Bottom