Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu amehutubia mkutano wa hadhara leo katika kijiji cha Ngamu kata ya Mwasauya watu walijitokeza kwa wingi sana kumsikiliza
POLISI WALITUMWA KUVURUGA MKUTANO,
Katika hali ya kushangaza polisi kutoka Singida mjini walitangulia katika kata ambazo Lissu alikuwa anaenda kufanya mkutano na kuwasambaratisha wananchi kwa kuwadanganya kuwa Lissu amepata dharura hivyo hatafika kwenye mkutano,
Polisi hao wamefanikiwa kuwasambaratisha wananchi katka kata ya Msange lakini wamegomewa katika kata ya Mwasauya, baada ya kuwadanganya wananchi kuwa Lissu hatafika tena wananchi waliwagomea hawakusambaratika.