Tundu Lissu aendelea kuisambaratisha CCM Jimbo la Nyalandu.

Mwala J

Member
Jan 20, 2013
62
40
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu amehutubia mkutano wa hadhara leo katika kijiji cha Ngamu kata ya Mwasauya watu walijitokeza kwa wingi sana kumsikiliza

POLISI WALITUMWA KUVURUGA MKUTANO,

Katika hali ya kushangaza polisi kutoka Singida mjini walitangulia katika kata ambazo Lissu alikuwa anaenda kufanya mkutano na kuwasambaratisha wananchi kwa kuwadanganya kuwa Lissu amepata dharura hivyo hatafika kwenye mkutano,

Polisi hao wamefanikiwa kuwasambaratisha wananchi katka kata ya Msange lakini wamegomewa katika kata ya Mwasauya, baada ya kuwadanganya wananchi kuwa Lissu hatafika tena wananchi waliwagomea hawakusambaratika.
 
Vi-police vya Tz vimekondeana utafikiri vina njaa ya somalia.! Hata havijionei huruma, vitumbo vimezama kwa ndani mithili ya vibabu vya miaka 90.!
 
Vi-police vya Tz vimekondeana utafikiri vina njaa ya somalia.! Hata havijionei huruma, vitumbo vimezama kwa ndani mithili ya vibabu vya miaka 90.!

Kuna tofauti gani kati ya nahau, msemo, kitendawili na methali?
 
Sio kweli! Kinyume chake ni kweli kabisa! Mapolisi wamenenepea mno na nndiyo maana hata hawatumii akili tena! Nasikia kuna uhusiano Kati ya unene wa mwili na Ugando wa akili! CCM inawawia rahisi kuwatumia maana yamekuwa Kama maze zeta ti! Nchi yangu!
 
Vi-police vya Tz vimekondeana utafikiri vina njaa ya somalia.! Hata havijionei huruma, vitumbo vimezama kwa ndani mithili ya vibabu vya miaka 90.!
Hahaha u made my day, kwa kuongezea pia vipoliccm vya tanzania vinanuka kwapa, pia vinanuka mdomo.havijui usafi hata...kidogo...pia vina tatizo la utapia mlo na kwashakoo.na upungufu wa vitamins in general.
 
Vitu vingine vinashangaza sana kama mtu unweza kufikiri.
hivi lisu ni mtu wa kusamaratisha chama kingine au anajisambaratisha mwenyewe angejua jimbo lake limeoza.
 
Vitu vingine vinashangaza sana kama mtu unweza kufikiri.
hivi lisu ni mtu wa kusamaratisha chama kingine au anajisambaratisha mwenyewe angejua jimbo lake limeoza.

we unasema anajisambaratisha fuatilia uchaguzi wa diwani jimboni kwake pamoja na rushwa iliyotolewa na ccm watu wamekula na kura zimeenda chadema.
 
Sio kweli! Kinyume chake ni kweli kabisa! Mapolisi wamenenepea mno na nndiyo maana hata hawatumii akili tena! Nasikia kuna uhusiano Kati ya unene wa mwili na Ugando wa akili! CCM inawawia rahisi kuwatumia maana yamekuwa Kama maze zeta ti! Nchi yangu!
Umenikumbusha mapolisi wa kituo cha mabatini sinza/kijitonyama,hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom