sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,564
- 11,478
Huyu mtu anajiona kama Tanzania one na hakuna yoyote kama yeye.
Anapita duniani akiwaaminisha watu Tanzania si nchi salama, lakini hadi sasa hatujaona hata balozi au nchi ikiwaambia raia wake waondoke Tanzania au wasije Tanzania..zaidi tunaona wanamiminika.
Miaka kadhaa iliyopita Tanzania ilitishiwa sana na hali ya kiusalama..nakumbuka kwa dar kila ijumaa kulikuwa na maandamano..huko Arusha kulikuwa hakukaliki na mauaji makubwa yalitokea..
Kina Tundulissu wakati huo waliona kawaida na walifurahia sababu waliamini zile damu za wanyonge kule Arusha zitawapa wao madaraka na kwao wao ile ndio ilikuwa hali ya utulivu.
Leo tunashuhudia Tanzania yenye utulivu, watu wanafanya biashara kila kona bila hofu ya maandamano, polisi wala mgambo.
Ndoto za Tanzania mpya zinatamalaki kila siku..miundo mbinu ya kisasa( flyovers, interchanges, 8 ways)..barabara za highways zinatanuliwa kupishana magari matatu hali itayozuia ajali..ukija upande wa anga viwanja vya ndege vyote ujenzi unaendelea, ndege za kisasa zimenunuliwa, bandari zinatanuliwa, vivuko vya kumwaga, reli ya kisasa na treni za kisasa, masoko ya bidhaa na vyakula yanaendelea kuimarishwa na hivi juzi tumesaini mkataba na shirika la kimataifa.
Hao ambao Lissu anapita kuwaaminisha Tanzania si salama ambao ni watanzania wana ndugu zao huku na wengine waliacha tanzania ikiwa ya hovyo tofauti na sasa..ilikuwa hata aibu kuja na rafiki zao hasa wakifikiria foleni ya tazara, mtiririko wa maji taka, ukosefu wa maji na tatizo kubwa la umeme.
Leo wanaona na kusikia Tanzania ya Magufuli..wanajua..wanamsikiliza lissu kumfariji tu baada ya kutoka wodini.baada ya muda watachoka kumsikiliza maana hatakuwa na jipya tena..kawaida santuri ikiwa mpya watu watataka waisikilize kila mara ila baada ya muda wanaichoka na kuitupa kapuni sababu nyimbo ni zile zile.
Lissu akitaka ajiwekee tena mazingira ya kupigwa risasi ili apigwe akaanzishe nyimbo mpya..ni dhahiri sasa wameshamchoka ndio maana imefikia hatua anaomba hela ya chakula na ada..baada ya muda hata hao anaowaona na kuwaomba hatawaona tena maana nao watakuwa bize na maisha yao maana kushughulika na hadithi anazopiga Tundulissu wanajua haziwapi mkate wala ada..wala hazibadilishi kitu kwa wazee wao waliopo vijijini..bora wamsikilize Magu anayewaondolea aibu ya Tanzania kwa wageni..
Maana yaliyofanyika kwa Lissu yapo dunia nzima..sio mageni..hayajaanza leo wala jana..nothing new..hata John F Kennedy alitendewa zaidi ya Lissu akiwa kwenye madaraka makubwa ya nchi katika nchi inayoaminika zaidi kwa usalama duniani.
Aachwe azurule..akichoka ataweka matako chini..akishindwa sana ada zipo shule za wanyonge..awalete wanawe waungane na watoto zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app