Uchaguzi 2020 Tundu Antiphas Lissu afanya mkutano Tunduru

Pole sana, Mkuu. Sikujua kama na wewe umesombwa na ngembe za watafuta nongwa!

Mkuu ifikirie Tanzania kwa mara nyingine endapo kama bado una nafasi ndani ya moyo wako wa kutakia mema watanzania wote na upo tayari kuiona Tanzania iliyo imara katika nyanja zote na ya kiamendeleo kwa watanzania wote.

Mkuu, Lissu siyo mgombe mwenye kututakia mema sisi watanzania kwa nyakati hizi. Matendo yake na matamshi yake yana dhibitisha haya.
Ndugu yangu acha wivu.
Lissu ameweka wazi kutokubagua mtu yoyote na akiingia tu madarakani atafanya maridhiano ya kitaifa, kufuta sheria zote kandamizi, kuwarudishia wananchi madaraka yao.
Kwa hayo, Lissu ni zaidi ya Mandela.

Wewe ulitaka mema gani tena?
Usipomchagua Lissu utamchagua nani tena?
 
Yaani hii polling link imechezewa Lumumba wee ndo baadaye unaiweka hapa?
😁 Mkuu nimeiona kwa hao jamaa wakipasiana kupiga kura, nikaona isiwe nongwa ngoja niwaletee wadau wafanye yao.

Niliianzishia uzi moderater kwa bahati mbaya wameifuta.
 
😁 Mkuu nimeiona kwa hao jamaa wakipasiana kupiga kura, nikaona isiwe nongwa ngoja niwaletee wadau wafanye yao.

Niliianzishia uzi moderater kwa bahati mbaya wameifuta.
Asante kwa kujifanya mwenzao lkn kumbe unawachora tu. Kaa humo humo kwenye group lao mkuu. Uwe unatuletea umbea wao
 
CHADEMA msione shida kuwaambia watanzania kwenye matangazo yenu kwa Lissu ni wa Mwisho. Watanzania hatuna haja ya kuchagua vitu vya mwisho. TUZO anapewa mtu wa kwanza Dkt Magufuli. Watanzania tunakwenda na mtu wa kwanza.
 
Sikiliza vizuri hapa...

  • Nzuri
Reactions: BAK
Wewe utakuwa ni mwanaccm mwenye kacheo fulani ambaye bado hujairuhusu akili yako kukubaliana na uhalisia kwamba CCM inaondoka madarakani.

Ni kawaida ya punda kurusha Sana mateke roho inapomtoka.
Yaani wapo watu huko CCM wameshindwa kabisa kwenda na wakati, bado wanaamini katika kuvitumia vyombo vya dola kuilinda CCM, hawasomi historia wala alama za nyakati. Kibaya zaidi ni kwamba wanaamini Tanzania haiwezekani bila hiki chama chakavu na king'ang'anizi kilichoishiwa si uwezo tu bali hata sifa ya kuendelelea kuwepo.

CCM inaamini katika matumizi ya nguvu na ubabe badala ya hekima na busara na kila baada ya miaka mitano wanatuchagulia viongozi wabovu kuliko waliotangulia. Safari hii ndiyo wakanoa kabisa, wanaswaga wananchi kama mifugo. Kuteka, kutesa, kuua na kupoteza watu ni dalili ya utawala ulio mufilisi ambao kwa karne hii hautufai.
 
Pole sana, Mkuu. Sikujua kama na wewe umesombwa na ngembe za watafuta nongwa!

Mkuu ifikirie Tanzania kwa mara nyingine endapo kama bado una nafasi ndani ya moyo wako wa kutakia mema watanzania wote na upo tayari kuiona Tanzania iliyo imara katika nyanja zote na ya kiamendeleo kwa watanzania wote.

Mkuu, Lissu siyo mgombe mwenye kututakia mema sisi watanzania kwa nyakati hizi. Matendo yake na matamshi yake yana dhibitisha haya.
Mlimchokoza wenyewe mtamkoma.Risasi zinauma na kisasi kina uma pia
 
Sisi wengine tunajiuliza kwanini mlitaka kumuua? Siasa za kuuwana tz hapana ndio maana tunaopenda lisu kinyama Yani .
Pole sana, Mkuu. Sikujua kama na wewe umesombwa na ngembe za watafuta nongwa!

Mkuu ifikirie Tanzania kwa mara nyingine endapo kama bado una nafasi ndani ya moyo wako wa kutakia mema watanzania wote na upo tayari kuiona Tanzania iliyo imara katika nyanja zote na ya kiamendeleo kwa watanzania wote.

Mkuu, Lissu siyo mgombe mwenye kututakia mema sisi watanzania kwa nyakati hizi. Matendo yake na matamshi yake yana dhibitisha haya.
 
TUJITEGEMEE watanzania kwa kila jambo linalotuhusu kulifanyia kazi. Utegemezi haulipi!

Mnataka kumuweka madarakani Lissu kwa msaada wa vitisho vya wabaya wetu.Je. Hao wabaya wetu mtawalipa nini!?
Tupe mfano wa kilichofanyika bira misaada ya nje. Deni la Taifa ni Trioni ngapi kwa sasa? Watanzania sio wapumbavu hawadanganyiki, eti miradi inajengwa na fedha za ndani. Hata mishahara isingeongezwa kwa miaka 10 mikopo ipo tu.
 
Back
Top Bottom