Tundu Antipasi Lissu apitishwa rasmi kuwania nafasi ya urais Tanganyika Law Society!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,112
24,642
Hatimaye chama cha wanasheria nchini " Tanganyika Law Society" Chapitisha rasmi jina la Wakili maarufu Tundu Lisu kugombea urais wa chama hicho ambacho siku za karibuni kimekosa mvuto wakutetea maslahi ya wanasheria na haki kwa ujumla katika taifa hili.
TUNDU ANTIPAS LISU " MAKE TLS GREAT AGAIN"
 
Tundu Lissu upcoming TLS presdent....!!
Tunakuombea ushindi, hakuna awezaye kukuzuia!
Mapambano ni jadi yako na unayaweza na siku zote unakuwa mshindi! Hivyo hata TLS utaibuka mshindi..VIVA Lissu....!!!!!
 
Hatimaye chama cha wanasheria nchini " Tanganyika Law Society" Chapitisha rasmi jina la Wakili maarufu Tundu Lisu kugombea urais wa chama hicho ambacho siku za karibuni kimekosa mvuto wakutetea maslahi ya wanasheria na haki kwa ujumla katika taifa hili.
TUNDU ANTIPAS LISU " MAKE TLS GREAT AGAIN"

Drug baron Tundu Lisu kugombea Uraisi wa TLS? Kweli Dunia imegeuka juu chini!
 
Sema wewe ndio umegeuka na si dunia! Unawaza kwa matko badala ya kutumia ubongo...
Dunia ipo kama ilivyo na utaiacha kama ilivyo!
...Drug Baron Tundu Lissu? Una ushahidi au unaropoka tu kama Makndya..
Drug baron ccm na matawi yao ..rzmoko!
Lissu atashinda ili awanyooshe...
 
Hatimaye chama cha wanasheria nchini " Tanganyika Law Society" Chapitisha rasmi jina la Wakili maarufu Tundu Lisu kugombea urais wa chama hicho ambacho siku za karibuni kimekosa mvuto wakutetea maslahi ya wanasheria na haki kwa ujumla katika taifa hili.
TUNDU ANTIPAS LISU " MAKE TLS GREAT AGAIN"
Rais wetu hili halitaki kabisa.
 
Back
Top Bottom