Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Mtaweweseka sana nabado ilo ni pigo moja tu la bbc mmechanganyikiwa ivo, nawaambien laana ya Mungu juu ya Damu ya Lissu haitawaacha salama, labda nikukumbeshe urejee mahojiano ya rais wetu mtarajiwa Lissu,alisema doctor wake akimruhusu tu siku ya pili atakuwa dar esalaam

Sasa mbona nyie mnasema asirudi?
 
Kweli wewe ni bonge la kilaza
Kumeibuka mjadala mkubwa katika mitandao kijamii kufatia kile kilichodaiwa kuwa ni kauli ya Mh. Spika Ndugai, iliyomtaka arejee nchini na kuendelea na shughuli zake za kibunge vinginevyo sheria itachukua mkondo wake dhidi yake.

Hivi karibuni TAL akihojiwa na moja ya vyombo vya habari huko Uingereza, alisema kwamba kwa sasa amepona na atarudi nchini muda wowote; pia alitumia wasaa huo kuwaweka wazi Watanzania na jumuiya ya kimataifa kuwa yupo tayari kugombea nafasi ya juu kabisa ya uongozi katika nchi yetu hapo mwaka 2020 kama chama chake kitaridhia apeperushe bendera yake.

Kinachoshangaza ni kuwa wapambe wake wamekuwa na wasiwasi juu ya usalama wa Lissu kuliko Lissu mwenyewe. Wakati yeye akisema yuko tayari kurejea nchini wakati wowote, wao wanasema asirejee hata kama atapoteza nafasi ya Ubunge huku wakidai kuwa wanahofia usalama wake na wengine wamesema aombe “Political Asylum” katika moja ya nchi hizo, sijui kwa vigezo vipi. Viongozi wa juu wa CHADEMA bado wapo kimya kabisa katika hili. Kuna siri nzito ambayo Lissu na dereva wake wanajua.

Nilichojifunza hapo ni kuwa wapambe wake wanakubali wazi kuwa TAL anavunja sheria kwa kutojishughulisha na masuala ya Kibunge bila kibali cha Spika wakati akiwa na afya njema kabisa, na badala yake anafanya ziara nje ya nchi zenye malengo hasi kwa nchi yetu. Hivyo wapambe wake hawatashangazwa iwapo Spika ataamua kutomtambua Lissu kama Mbunge, lakini tutarajie malalamiko yao kama kawaida ya kulalamikia kile wasichokiamani.

Lissu bado anaamini kuwa Tanzania ni nchi ya amani tofauti na wapambe wake wanavyoamini na ndiyo maana ameweka wazi mipango yake kisiasa. Tujiulize maswali haya, iwapo ataomba hifadhi nje kama wapambe wake wanavyotaka, “Plan Yake” ya kuwa Rais itakuwaje? Je, atafanya kampeni na kuchaguliwa kutoka huko huko aliko?

Katika hili, Lissu na wapambe wako hamko pamoja kabisa.

In God we Trust
 
Kuna watu wanaenda kuvuliwa nguo
p01lcpq0.jpg
 
Jamani mbkna hatusikii tena habari za mwenyekiti was cdm mh. Mbowe neo kusema watu wamemchoka kias hiki! au kashatoka lupango?

Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua ushabiki wa mitandaoni ndugu yangu..na nasikia anaumwa..watu kinachokuja mtandaoni kwa wakati huo ndio wanakijadili..kikija kipya hata kama ni dk 10 basi cha mwanzo kinasahaulika..usiombe uwe na supporters wa mitandaoni..mange kimambi anajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BBC HARD TALK !!
Hizi sio zama za kutukuza vyombo vya habari vya magharibi!
 
Sasa mkimvua ubunge ndio atakufa njaa? Tumieni akili nyie EMPTY SET....Gharama za kuokoa maisha hamjachangia hata Sumni na mungu kamsaidia amepona......Mnaleta uzwazwa arudi TZ ili mumtungue tena risasi,ngoja amalize ziara yake kwanza kueleza ukweli.

Sheria haingalii hilo. Tatizo mnatanguliza sana feelings badala ya reality. Hakuna aliyesema atakufa njaa, lakini aache kulalamika kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa. Nyie na mtu wenu bado hamuelewani kabisa
 
Back
Top Bottom