Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Kuuliza ilikuwa ni haki yako ya msingi,lakini huna haki ya kupanga majibu..kwamba upewe majibu bila kumtaja Magufuli???
 
Magufuli amepwaya mno haamini macho yake kwa jinsi alivyokutana na upinzani imara kabisa, amebakia kufoka, kutisha, kubwabwaja na kupayuka tu.
Tumekubaliana majibu yatoke bila kumtaja Magufuli!!
 
Kwa hiyo mi ni kinya na wwe una kunya siyo!?

.. MTAZAMO ana double standards.

..yeye angeanza huko ndani ya chama chake ambapo walawiti watoto wanatunzwa na kupewa nafasi.

..sijui kama unaelewa uzito wa Pedophile kupokelewa ikulu na kupiga picha na bendera ya taifa.
 
Huu ni mwiba

..inakuwaje walawiti watoto wanapokelewa ikulu?

1599304427187.png
 
Back
Top Bottom