Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Your not abreast of Current affair.... Leo hii Air Tanzania imeenda Zambia na Zimbabwe, pia Mauritius kila wiki mara tatu, kwa mwezi ujue ATCL inatengeneza Faida Pekee yake Billion 4.... na hapo ndege mbili ambazo ni Airbus zilikuwa hazijafika, sasa hapo hasara iko wapi ?? Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.... Unaongelea ndege pekee haujui kama serikali ina vitega uchumi vingi na miradi mingi, umekalili kodi zetu kodi zetu, usikute hata kodi haulipi shubamiti si mpinzani wewe ???
Rwandair has more routes yet making over $50m annually

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hamjui lengo la waandishi wa habari hasa wa kimataifa, ni kuchokonoa ili ujumbe ufike dunia nzima, lengo lao limetimia.
Mkuu ficheni UPUMBAVU wenu hata kidogo. Jamaa yenu kachemka. Alifikiri ni Media za kibongo unahojiwa na kupigiwa makofi.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Watetezi wa CCM mitandaoni wote ni vilaza mbumbumbu ni vijana wajinga wajinga wapo gheto kwa le mutuz na cyprian Musiba wamekariri walivyolishwa na hao boss zao kazi yao ni kuharibu mada kusumbua watu mitandaoni kufanya vurugu kuwachanganya wachangiaji mada ni Aibu CCM kumpa Tenda ya utetezi mitandaoni hiyo kubwa jinga Le mutuz ndiyo maana ujinga wa watetezi wa CCM hautakwisha.
.....
.......Neno
 
Tukumbushe wewe mjuaji ujenzi wa airport ya Chato ulipitishwa bunge gani na lini.

Kumbuka, unapotaka kuwa mwongo fanya juhudi uonekane unajua unalolizungumzia. Wewe katika hili huna ulijualo, na kwa hiyo hata kusema uongo kunakushinda!
.....
.....Safiiii
 
Rwandair has more routes yet making over $50m annually

Sent using Jamii Forums mobile app

From Financial theories and Economic perspective your statement is not viable, kwa hiyo ukiwa na route nyingi ndio unatengeneza pesa au ?? mbona haueleweki, na hapa Rwanda inaingiaje kwenye uchumi wa Tanzania ??
Kwa Taarifa yako unaweza ukawa na mang'ombe mia na ukapata faida sawa na mwenye ng'ombe kumi... ni mipango tu ya biashara ndio inayokufanya upate faida.
 
Back
Top Bottom