Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Habari njema sana hii ingawa ni habari mbaya sana kwa watu wasiojulikana na wale wanaowatuma.
Hili pia lilikuwa tatizo la LIssu kuamini anakwenda kuulizwa mambo ya kupigwa risasi. Baada ya mahojiano hayo, unaweza ukaelewa nini mwandishi alitaka kujua toka kwa Lissu, bahati mbaya hakuweza kukieleza. Yeyey na watu wasiojulikana tuuu!
 
Wenye kukimudu kingereza ndio hao hao ambao wameitia umaskini afrika tangu iwe huru.

Wenye kuyamudu mahojiano wamekuwa madalali wazuri tu wa hao wazungu, ni aina fulani ya watumwa, watu wenye kuona ni ujanja kukubalika na watu weupe.
 
Ndugu zangu,

Kama wazungu wanatambua kuwa tuhuma za akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na wenzao kuwa ni za 'kutengeneza' basi wabadili mbinu.

kitendo cha waandishi wa media za kimataifa kuyaita madai ya Lissu kuwa ni ''base less allegations'' au ''inflamatory statement ni dhahiri wapo uchi.

Huenda Zitto Kabwe naye hajatupa mrejesho wa Mwenyekiti wa jumuiya za madola baada ya kuambiwa ''your allegations against Hon.Ndugai with respect to CAG are utter baseless''

Tuliwahi kusema hapa uongo haudumu na ndicho kilichotokea na zaidi umewaumbua watu mchana.

Ni dhahiri hata ule mpango wa akina Ngurumo kutafuta ''hadi ya ukimbizi'' Finland umeshindwa.

Tanzania yetu sote, tuipende,tuikumbatie.
Jana ameumbuka sana kwenye BBC Hardtalk alifikiri huko wanaendekeza uongo uongo! Amepigwa maswali akawa hana facts analeta propaganda za kisiasa!
 
Umejaribu kuhoji lengo la yy kufanya hiyo ziara ni nini Na nini manufaa kwa Taifa?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Sihitaji kuhoji ila naona ni 1) safari ya kusaka marafiki jambo ambalo si kosa, kwani anausaka urais, hivyo ni vyema kuanza kuwa na mahusiano mazuri na jumuiya za kimataifa, iwapo atapata ridhaa ya kuongoza ataweza kuwashawishi kuwekeza hapa nchini. 2) Anaeleza dunia nini kilimkuta siku ya shambulio lake na udhaifu wa serikali kwenye hilo. 3) Manufaa kwa taifa ni kuimarisha demokrasia na kulinda uhuru wa kujieleza kwa wenye mtazamo tofauti na watawala.
 
View attachment 1000477
Tundu Lissu MP
HARDtalk

HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu. Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also governed by one of the continent's most controversial leaders: president John Magafuli, otherwise known as the 'Bulldozer'.

Tundu Lissu is one of his leading domestic opponents, at least he was, until gunmen pumped more than 20 bullets into his body in 2017.

Lissu survived and has rejoined the fight against a ruler he describes as a petty dictator. But maybe Tanzanians like strong man rule?

Kawekwa kwenye kona maskini alidhani wazungu wajinga. Nafikiri ataacha sasa kujipeleka peleka.
Kahaibika sana kujaribu kulazimisha ila mzungu yuko smart, inflamatory allegation!
Hahahaaaaa
 
Wenye kukimudu kingereza ndio hao hao ambao wameitia umaskini afrika tangu iwe huru.

Wenye kuyamudu mahojiano wamekuwa madalali wazuri tu wa hao wazungu, ni aina fulani ya watumwa, watu wenye kuona ni ujanja kukubalika na watu weupe.

Hapa kwetu hatukimudu kiingereza, na mtawala wetu hamudu mahojiano, je tunawazidi nini hao wengine?
 
View attachment 1000477
Tundu Lissu MP
HARDtalk

HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu. Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also governed by one of the continent's most controversial leaders: president John Magafuli, otherwise known as the 'Bulldozer'.

Tundu Lissu is one of his leading domestic opponents, at least he was, until gunmen pumped more than 20 bullets into his body in 2017.

Lissu survived and has rejoined the fight against a ruler he describes as a petty dictator. But maybe Tanzanians like strong man rule?

Kelele tuu hadi studio za BBC! What a hell is that brain?
 
Anafight na ana-fight siyo maneno ya Kiswahili.

Ni SW-EN ,kinakubalika katika maandishi ambayo si formal kiivyo!

Lazima uweke dash kutenganisha neno la Kiswahili na neno la foreign language ulilounga

Sasa huyu tako yeye kaunganisha moja kwa moja kama anaharisha vile!
 
Ndugu zangu,

Kama wazungu wanatambua kuwa tuhuma za akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na wenzao kuwa ni za 'kutengeneza' basi wabadili mbinu.

kitendo cha waandishi wa media za kimataifa kuyaita madai ya Lissu kuwa ni ''base less allegations'' au ''inflamatory statement ni dhahiri wapo uchi.

Huenda Zitto Kabwe naye hajatupa mrejesho wa Mwenyekiti wa jumuiya za madola baada ya kuambiwa ''your allegations against Hon.Ndugai with respect to CAG are utter baseless''

Tuliwahi kusema hapa uongo haudumu na ndicho kilichotokea na zaidi umewaumbua watu mchana.

Ni dhahiri hata ule mpango wa akina Ngurumo kutafuta ''hadi ya ukimbizi'' Finland umeshindwa.

Tanzania yetu sote, tuipende,tuikumbatie.
Unapotaka mtu aongee na kueleweka ni pamoja na kumpa maswali magumu na kujaribu kuonyesha udhaifu wa maneno yake na ndio alichofanya yule aliyekua anamhoji. Na TAL ameweza kujibu kwa ufanisi maswali yote na kufafanua kila alichoulizwa na kile ambacho dunia ilipaswa kukijua
 
Kuongea bila evidence ni mchezo ambao tumeuzoea sana hapa kwetu, ndio maana kuna maswali tundu Lisu anaulizwa anaanza kuyataja tu bila evidence ,watu kadhaa wamekufa kibiti, hajui waandishi kama wale wana data na informations zote za kutosha kuhusu Magufuli na serikali yake, hata ukijitahidi vipi kuongea mambo ambayo sio kweli watajua tu hapa ni siasa zinaendelea, mimi namshauri Lisu apunguze jazba na awae na facts anapoongea, vinginevyo kuwa convice watu huko ni ngumu, leo hii duniani sio rahisi kuwaambia watu kuwa hawajui juhudi za Magufuli kupambana rushwa, na hatua za serikali zinazochukuliwa katika Nyanja tofauti, yaani itakuwa ngumu sana kwa lissu hata akizunguka dunia nzima kuwaambia Magufuli sijui yuko vipi, tayari Magufuli amesha win kwa muda mfupi kulingana na utendaji wake, na ndio maana huwa nasema kila siku upinzani ungejikita kwenye vitendo kama Rais anavyosisitiza ila wao wakaja na Slogan yeneye muelekeo ule ule wa vitendo.
Trilion 1.5 ipo wapi? Kujenga chato Airport kijijini ndiyo utendaji mzuri? Kupelekwa ndege Canada kutengeneza kwa bilion 13 ndiyo ku win utendaji mzuri? Kuwabambikia kesi kuzua mikutano ya siasa kula 10% ununuzi wa ndege ujenzi za reli nk ndiyo Utawala bora?
 
For the first time Maelezo haya kuhusu Mh.Tundu Lissu hayana watu wanaomusapoti? Imekuwaje sasa? Nyie watu ndo munasema 2020 agombee uraisi wa nchi kweli hamutasahau kumpigia kura? Nilitegemea comment zakumutia moyo lakini munapita tu kama hamuoni majibu ya Mh.wetu? Yetu macho .......
Watumishi wa mshahara mpo kazini; ni vema ili nyie na watoto wenu muhudhurie kule kunakohitajika.
 
Back
Top Bottom