Tundu Antipas Lissu akiwa London amenifikirisha "sana" juu ya uimara wa Bunge letu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Nimemuona Tundu Lisu akiwa pale London Uingereza Ameonekana ni mtu mwenye bashasha, mwenye matumaini na spirit ya kutokata tamaa.
Nikawakumbuka wabunge wenzake bila kujali itikadi na hata baadhi ya watendaji waliopigania uzima wake pamoja naye na kwa uchache nimewakumbuka Mbowe, mchungaji Msigwa, Lema, Dr Mwigulu, Dr Mpoki na Lazaro.

Nikawakumbuka pia waliovuka mpaka wa nchi kwenda kumjulia hali pale Nairobi katika hali ya ubinadamu kabisa, mama yetu Samia ambaye ni makamo wa Rais, balozi Pindi Chana na mzee wetu ambaye ni baba wa demokrasia nchini Ally Hassan Mwinyi.

Ninaendelea kutafakari maana hadi hapo sijaona ule uimara thabiti wa mhimili wa bunge. Kwa mfano mtu akisema Lisu alitelekezwa na bunge atakuwa amekosea?..........na kama hajakosea bunge imara linaweza kumtelekeza mbunge wake kwa sababu yoyote ile akiwa katika hali ya umahututi?

Sisi sote ni ndugu, niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
 
safi Yohana Mbatizaji,
Kumbe una utu.
 
Sauti ni ya Yakobo lakini mwili ni wa Essau
 
Umesema ukweli kabisa Ndugu.
Labda nikukumbushe kitu tu. Mwisho wa ubaya huwa ni aibu. Kuna watu wanaona aibu kwa sababu ya ubaya waliomtendea Tundu Lissu. Lakini wenyezi Mungu, aonaye kila kitu, asiyehitaji mashahidi wa kumthibitishia, na anayehukumu kwa haki, atamhukumu kilamtu kwa haki na kwa wakai wake. Tumwachie Yeye. Na hata kama Tundu Lissu angekufa, bado Mungu angemfufua siku ya mwisho. Nawaliotaka kumuua nao watahukumiwa pia.
 
naamini watu wengi ndani ya vitengo nyeti vya serikali walikerwa na kuchukizwa sana na tukio lile! tena lilikua tukio la kipumbavu sana kwasababu ni jambo linaloweza kuhatarisha usalama wa serikali na nchi kwa ujumla, architect wa tukio bado anajifanya kiburi ila kuna siku atajikuta ameachwa peke yake.
 
Nimemuona Tundu Lisu akiwa pale London Uingereza Ameonekana ni mtu mwenye bashasha, mwenye matumaini na spirit ya kutokata tamaa.
Nikawakumbuka wabunge wenzake bila kujali itikadi na hata baadhi ya watendaji waliopigania uzima wake pamoja naye na kwa uchache nimewakumbuka Mbowe, mchungaji Msigwa, Lema, Dr Mwigulu, Dr Mpoki na Lazaro.

Nikawakumbuka pia waliovuka mpaka wa nchi kwenda kumjulia hali pale Nairobi katika hali ya ubinadamu kabisa, mama yetu Samia ambaye ni makamo wa Rais, balozi Pindi Chana na mzee wetu ambaye ni baba wa demokrasia nchini Ally Hassan Mwinyi.

Ninaendelea kutafakari maana hadi hapo sijaona ule uimara thabiti wa mhimili wa bunge. Kwa mfano mtu akisema Lisu alitelekezwa na bunge atakuwa amekosea?..........na kama hajakosea bunge imara linaweza kumtelekeza mbunge wake kwa sababu yoyote ile akiwa katika hali ya umahututi?

Sisi sote ni ndugu, niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
unaandika upuuzi mkuu. tuache kwanza tuangalie soccer bhana
 
Nikawakumbuka pia waliovuka mpaka wa nchi kwenda kumjulia hali pale Nairobi katika hali ya ubinadamu kabisa, mama yetu Samia ambaye ni makamo wa Rais, balozi Pindi Chana na mzee wetu ambaye ni baba wa demokrasia nchini Ally Hassan Mwinyi.
Nilimwona Mama Samia pale, alipokwenda kumjulia hali Mh Tundu Lissu alipokuwa Nairobi. "Pure' ubinadaam, usioweza kusemwa kwa maneno yule mwana mama aliouonyesha.

Wewe unazungumzia wabunge wenzake waliokwenda kumjulia hali, Dodoma, Nairobi au Ubelgiji. Kwa bahati mbaya sana sina kumbukumbu ya mbunge yeyote kutoka Chama Cha CCM niliyemwona au kusikia tu habari zake kuhusu kumjulia hali mbunge mwenzao. Umemtaji Dr Mwigulu, huyu sikumwona au kumsikia, labda hii habari yake ilinipita pembeni. Nilimsikia Lazaro, ambaye muda mfupi baada ya hapo akaamua kuachana na ubunge kwa sababu alizozitaja yeye.

Kwa hiyo, tukimwondoa Mama Samia, tunaweza tukasema kuwa CCM nzima walikuwa na sababu iliyowazuia kumwona na kumtakia pole Mh Tundu Lissu. Sababu wanazifahamu wao.

Hiyo sio "Tanzania Mpya" tunayoitaka. Hata tuwe na madege 300 yanapishana angani kila dakika. Hiyo waTanzania waikatae kwa nguvu zao zote..
 
Walaaniwe wote walioshiriki katika mipango ya kutaka kumuua T.A.L
Waliomtelekeza ndio wabaya zaidi.
Hasa Bunge.
Jobman alitakiwa ampiganie Sana Memba wake wa Bunge ili kupigania maisha yake bila kujali vyama.

Kuna mambo kwenye maisha yanatokea kwa mtu kama zari au sijui ni vipi!

Ila Job man hakustahili kuwa twitter wala Sub uffer wa Bunge.

Na alitakia mpaka sasa ajiengue tu mwenyewe abaki kama mstaafu.

Mtu anayevaa joho kama ishara ya mlezi mtenda haki na hekima halafu akawa na hasira kama Mbogo hafai kulalia kiti cha utukufu cha kutunga sheria mana atatunga sheria zisizotekelezeka na za kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni weye? Au wameiba password yako?
Kama ni wewe basi leo umeonyesha akili kubwa na uzalendo wako. BIG UP!

Nimemuona Tundu Lisu akiwa pale London Uingereza Ameonekana ni mtu mwenye bashasha, mwenye matumaini na spirit ya kutokata tamaa.
Nikawakumbuka wabunge wenzake bila kujali itikadi na hata baadhi ya watendaji waliopigania uzima wake pamoja naye na kwa uchache nimewakumbuka Mbowe, mchungaji Msigwa, Lema, Dr Mwigulu, Dr Mpoki na Lazaro.

Nikawakumbuka pia waliovuka mpaka wa nchi kwenda kumjulia hali pale Nairobi katika hali ya ubinadamu kabisa, mama yetu Samia ambaye ni makamo wa Rais, balozi Pindi Chana na mzee wetu ambaye ni baba wa demokrasia nchini Ally Hassan Mwinyi.

Ninaendelea kutafakari maana hadi hapo sijaona ule uimara thabiti wa mhimili wa bunge. Kwa mfano mtu akisema Lisu alitelekezwa na bunge atakuwa amekosea?..........na kama hajakosea bunge imara linaweza kumtelekeza mbunge wake kwa sababu yoyote ile akiwa katika hali ya umahututi?

Sisi sote ni ndugu, niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom