Tundu acha kuongeza maadui. Njoo upige goti utubu maisha yaendelee

Unajua!! unaowaomba wakulinde ndio unawachafua kuwa walikushambulia hivi unajielewa kweli.

unaoomba wakulipie matibabu ndio unasema walikushambulia huku ukijua ulikosea kufuata kanuni za rufaa

waliokuwa wanakutetea ndio umeanza kuasema nao wakamatwe wahojiwe hivi unafikiria nini?

unaotaka wakupe ridhaa ugombee bado wapo jera ww unawaza urais na unasema wahojiwe kuhusu ww kushambuliwa

sio ccm wala chadema wote wanahasira na ww kwa kueopoka kwako na kuuza utu mbele ya wazungu.

USHAURI.

Rudi tanzania anzia ikulu omba msamaha,pitaia lumumba omba msamaha.,fika kinondoni omba msamaha,malizia bungeni omba radhi.baada ya hapo funga domo waachie polisi kazi wafanye yao wakitaka ushirikiano fika haraka .
maisha hayataki papala
maviii yaani mmpige lisasi zaidi ya 16 mwilini mwake atubu kwa sababu ame survive manina wewe na wenzako ndio mtubu kwake
 
Unajua!! unaowaomba wakulinde ndio unawachafua kuwa walikushambulia hivi unajielewa kweli.

unaoomba wakulipie matibabu ndio unasema walikushambulia huku ukijua ulikosea kufuata kanuni za rufaa

waliokuwa wanakutetea ndio umeanza kuasema nao wakamatwe wahojiwe hivi unafikiria nini?

unaotaka wakupe ridhaa ugombee bado wapo jera ww unawaza urais na unasema wahojiwe kuhusu ww kushambuliwa

sio ccm wala chadema wote wanahasira na ww kwa kueopoka kwako na kuuza utu mbele ya wazungu.

USHAURI.

Rudi tanzania anzia ikulu omba msamaha,pitaia lumumba omba msamaha.,fika kinondoni omba msamaha,malizia bungeni omba radhi.baada ya hapo funga domo waachie polisi kazi wafanye yao wakitaka ushirikiano fika haraka .
maisha hayataki papala
Poleni Sana! VUMILIENI TU! Lissu hata hivyo amewapa ulaji maana threads mnazofungua zinazomuhusu Lissu kila SAA kila siku, lazima muote vitambi kwa buku 7.

1. Huo utaratibu mnaosema ulikiukwa upo kwa mujibu wa Sheria ipi? Hebu tupe na Sisi hiyo sheria tuichambue!
2. Unaweza kusema Ni utaratibu upi ulitumika kumlipia Matibabu Marehemu Sammuel Sitta kwa fedha za Bunge ilihali yeye sii Mbunge? Hiyo haki aliipata kwa sheria zipi?
3. Hivi Tanzania tunaishi kwa Katiba na Sheria au kwa Kudra za mtu mmoja ambae anaamua atakavyo yeye?

Nikwaambie tu wewe uliezoea kuishi kwa kudhani kila unachofanyiwa Ni favour badala ya Haki:
1. Haki haiombwi, INADAIWA.
2. MSAMAHA WAOMBE WALIOHUSIKA KUMDHURU LISSU NA WALIOMNYIMA STAHIKI ZAKE ZA MATIBABU.
3. Tangu lini mnampangia mtu kurudi ama kubaki huko alipo? Kwa Nini mnataka kumcontrol hata kwa anachokisema? Mnahofia Nini? Kama mpo clean si mtoe Majibu stahiki ama mkae Kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mbulukenge kojoa ukalale acha utindiga wako hakuna cha msamaha hao wote hawasitahili kuombwa msamaha bali wao ndiyo waombe msamaha kwa kutetea udikteta wa baba zako
Ushashiba supu ya utumbo ww unajamba tu mdomoni saa hii nenda kanye ulale.
 
Unajua!! unaowaomba wakulinde ndio unawachafua kuwa walikushambulia hivi unajielewa kweli.

Unaoomba wakulipie matibabu ndio unasema walikushambulia huku ukijua ulikosea kufuata kanuni za rufaa

Waliokuwa wanakutetea ndio umeanza kuasema nao wakamatwe wahojiwe hivi unafikiria nini?

Unaotaka wakupe ridhaa ugombee bado wapo jera ww unawaza urais na unasema wahojiwe kuhusu ww kushambuliwa

Sio CCM wala chadema wote wanahasira na ww kwa kueopoka kwako na kuuza utu mbele ya wazungu.

USHAURI.

Rudi tanzania anzia ikulu omba msamaha,pitaia lumumba omba msamaha.,fika kinondoni omba msamaha,malizia bungeni omba radhi.baada ya hapo funga domo waachie polisi kazi wafanye yao wakitaka ushirikiano fika haraka .
maisha hayataki papala
katika kenge wewe ni kenge namba moja,hivi kwa hali aliyokuwa nayo Tundu lissu ulitaka afuate utaratibu gani?yeye alikuwa anapelekwa kama mtu aliyekufa hafahamu chochote,kwa nini usiwalaumu waliompeleka bila kufuata utaratibu?alafu hiyo serikali imechukua hatua gani baada ya Lissu kupigwa risasi?polisi wanaolinda maeneo hayo ya Lisu alipopigiwa risasi walikuwa wapi?kwa nini wasiojiwe? kwa nini nyinyi watu wa ccm mnakuwa hamna akili ya kufikiri?yaani bado mko kwenye mawazo kana kwamba,watanzania wote ni wajiga,ngojeni 2020 lazima tuwapige chini.serikali ndio inayotakiwa kumuomba Lissu msamaha sio Lisu,wacheni ujinga
 
Unajua!! unaowaomba wakulinde ndio unawachafua kuwa walikushambulia hivi unajielewa kweli.

Unaoomba wakulipie matibabu ndio unasema walikushambulia huku "ukijua ulikosea kufuata kanuni za rufaa"

Waliokuwa wanakutetea ndio umeanza kuasema nao wakamatwe wahojiwe hivi unafikiria nini?

Unaotaka wakupe ridhaa ugombee bado wapo jera ww unawaza urais na unasema wahojiwe kuhusu ww kushambuliwa

Sio CCM wala chadema wote wanahasira na ww kwa kueopoka kwako na kuuza utu mbele ya wazungu.

USHAURI.

Rudi tanzania anzia ikulu omba msamaha,pitaia lumumba omba msamaha.,fika kinondoni omba msamaha,malizia bungeni omba radhi.baada ya hapo funga domo waachie polisi kazi wafanye yao wakitaka ushirikiano fika haraka .
maisha hayataki papala

Tuwe waunguana japo kidogo.
Lissu alikuwa katika hali gani baada ya shambulizi.
Je, katika hali hiyo alikuwa na uwezo wa kuomba rufaa?
Jaribu kushirikisha faculty zote za ubongo wako kabla ya kutoa shutuma kama hii.
Ni dhahiri kuna waliofanya maamuzi kwa niaba bila ridhaa yake.
Mimi sijaona kosa la Lissu hadi sasa. Labda unielimishe.
 
Unajua!! unaowaomba wakulinde ndio unawachafua kuwa walikushambulia hivi unajielewa kweli.

Unaoomba wakulipie matibabu ndio unasema walikushambulia huku ukijua ulikosea kufuata kanuni za rufaa

Waliokuwa wanakutetea ndio umeanza kuasema nao wakamatwe wahojiwe hivi unafikiria nini?

Unaotaka wakupe ridhaa ugombee bado wapo jera ww unawaza urais na unasema wahojiwe kuhusu ww kushambuliwa

Sio CCM wala chadema wote wanahasira na ww kwa kueopoka kwako na kuuza utu mbele ya wazungu.

USHAURI.

Rudi tanzania anzia ikulu omba msamaha,pitaia lumumba omba msamaha.,fika kinondoni omba msamaha,malizia bungeni omba radhi.baada ya hapo funga domo waachie polisi kazi wafanye yao wakitaka ushirikiano fika haraka .
maisha hayataki papala
Atubu kwa kupigwa risasi? Una akili kweli wewe?
 
Mjinga grade one. Mtu apigwe risasi halafu atubu? Kweli mmemkabidhi jiwe akili maana hamzihitaji huko mliko.
 
Hivi wewe ndio Walahi?
Ndio huyohuyo USSR ,Isis ,sisis ,nyumbu wa walahi jinga kweli yaani linavyojenga hoja uchwara anafikiri pesa atakazotibiwa nazo Lissu ni za babaake jiwe au ccm .apigwe risasi halafu aombe msamaha na waliompiga risasi wafanyaje ?
 
Kwa damu ile aombe msamaha wa nini? waliotaka kumuua ndio wajitokeze wenyewe waombe msamaha kwake na Mungu. Otherwise adhabu yao ni mbaya tena hapa duniani na kuzimu ndio pango lao ktk mateso ya milele!
 
Back
Top Bottom