Tunda na ganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunda na ganda

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Che Kalizozele, Oct 20, 2008.

 1. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna bwana mmoja alikwenda kwa daktari akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi,baada ya maongezi ya muda mrefu kidogo,daktari akashauri

  Daktari,"Itabidi uwe na tabia ya kula matunda na maganda yake,itakusaidia sana kuondoa tatizo lako."

  Mgonjwa," Mmmmmmmhhh"

  Daktari," Mbona unaguna"

  Mgonjwa,"Hiyo itakuwa ngumu"

  Daktari,"Kwani wewe unapendelea tunda gani"

  Mgonjwa,"DAFU"
   
 2. Titus

  Titus Member

  #2
  Oct 21, 2008
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hiyo lazima iwe ngumu, mshikaji ni wa mitaa ya pwani nini?
   
 3. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Teh teh kazi kweli kweli. Nanasi je linaweza kuliwa na maganda yake?
   
 4. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa ndo kuna tatizo.Fenesi je?
   
 5. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unajua nanasi na fenesi,yote tunaweza kutengeneza juice kwa kuliweka kwenye blenda na maganda yake,tatizo dafu mtu wangu.
   
Loading...